FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,575
- 2,091
- Thread starter
-
- #81
Sasa nikikosa Baraka kutoka Kwake kwa Kutompa Sadaka yeye anafaidikaje kwa Mimi kukosa Hizo baraka. Yaani ananikosesha Baraka Ili yeye Apate Nini wakati ndio kaniumbaMungu alaani mtu kwa kutomtolea sadaka wala nini japo tu utakosa baraka kutoka kwake
Jiwe ni matokeo ya wheathering process halafu hao majini,malaika ni imani tu za kufikirikaHata malaika na Majini yanazaliana kama Wewe na Mimi Mkuu ingawa Wewe huyaoni kwa Macho.
Mungu ameweka Mifumo yake Ya Uzalianaji hata Binadamu wa kwanza Kuumbwa Waliumbwa wakiwa na Vizazi ili wazae na Wakawekwa Duniani
MALAIKA nao hivyo hivyo Wakawekwa sehemu yao
Majini hivyo hivyo Wakawekwa sehemu yao
Hamaanishi kwa Vile wewe una Uhai basi na Mungu awe na Uhai. Jiwe halina Uhai ila Limeumbwa. Kwa Mantiki yako inatakiwa yule aliyeliumba Jiwe lazima asiwe Hai ili aweze umba Jiwe
Sawa mimi siyaoni kwa macho. Je wewe unayaona. Ikiwa hauyaoni umejuaje yanazaliana?
Hiyo ni imani yako na umeibeba ulimwengu wako wote unauona hivyo.
Mimi siyo imani yangu hiyo na siamini katika hayo yote na hayapo. Kwangu huo sio ukweli.
Una uthibitisho gani kwa haya uyasemayo? Leta ushahidi au kaa kimyaAcha kuwaza ujinga hakuna kitu kinachiitwa mbingu space ni infinity na ulimwengu unazidi kutanua kwa spidi ya mwanga .unayoiina juu sio mbingu bali ni mwisho wa upeo wa machi yako ,huko juu hakuna mwisho
Siyo kila mwenye miaka 18 ana Akili TimamuMikumbo ya wazazi kuifuata mwisho miaka 18...
Kabla ya weathering process kutokea origin ya hiyo miamba ni nini?Jiwe ni matokeo ya wheathering process halafu hao majini,malaika ni imani tu za kufikirika
Kwani unapozungumzia malaika uliwahi kuwaona nyumba waliopanga? Au mtaa wanaokaa?Basi Mngekuwa mnaishi naye Mtaa Mmoja. Kama Atakuwa anaishi basi Ungejua Amepanga au Amejenga Sehemu fulani na Hizo Sadaka na Zaka msingekuwa mnapeleka Kanisani mngekuwa Mnampelekea Sehemu anayoishi.
Viumbe waovu wamewapotosha Sana
Viumbe ndio walitengeneza Uhai. Na Uhai una Mwisho maana Yake Kufa. Ukimuweka Mungu kwenye Sifa Hizo basi Mungu Kuna Siku Atakufa kitu ambacho najua Hukubaliani macho pia kwamba Mungu atakufa. Kama Hawezi kufa Basi Hana Uhai
Kwa mujibu ya sheria ni mtu anayajitambua unless ithibitishwe na vyombo husika kwamba hana akili timamu...Siyo kila mwenye miaka 18 ana Akili Timamu
Mkuu naona safari yangu imeishia hapa byebyeSasa nikikosa Baraka kutoka Kwake kwa Kutompa Sadaka yeye anafaidikaje kwa Mimi kukosa Hizo baraka. Yaani ananikosesha Baraka Ili yeye Apate Nini wakati ndio kaniumba
Na Unaposema Mtu akikosa Baraka Maana Yake si Ndio Kama Amekulaani tu
Umeona Mlivyo na Chuki. Sasa Mungu mwenye Vyote Hana Chuki na Wala hana Hisia za Chuki na Kiumbe chake. Ndio maana Mnaombeana Mabaya na Huko kanisani Mnaenda Kila SikuHakika kama Mungu aishivyo, akupe haki yako!
Kwahiyo hata Yale Mapepo aliyokuwa anatoa Yesu si ya kweli. Vitabu vyote ni UongoJiwe ni matokeo ya wheathering process halafu hao majini,malaika ni imani tu za kufikirika
Quran 23:91Ila kuna uwezekano pia miungu ilikuwepo na ikaumba binadamu. Ila kwa bahati mbaya kama ambavyo iliweza kuwepo ikawa haipo tena sasa kwa njia zilizo nje ya uelewa wa binadamu, miungu imetoweka. Hayupo hata Mungu mmoja tena🙏🏿🤔
Quran 23:91Ila kuna uwezekano pia miungu ilikuwepo na ikaumba binadamu. Ila kwa bahati mbaya kama ambavyo iliweza kuwepo ikawa haipo tena sasa kwa njia zilizo nje ya uelewa wa binadamu, miungu imetoweka. Hayupo hata Mungu mmoja tena🙏🏿🤔
Kauli zako zinajichanganya sana
Hao tunajua Wanaishi kama Yalivyo majini n.k Maana Wapo katika Sayari yao na Si Hii Tunayoishi sisi wangekuwa wanaishi hapa Kwetu tungejua Wapo Mtaa fulaniKwani unapozungumzia malaika uliwahi kuwaona nyumba waliopanga? Au mtaa wanaokaa?
Sawa hizo ni Sheria tu Ndugu yangu. Haki na Ukweli ni Vitu tofauti sana.Kwa mujibu ya sheria ni mtu anayajitambua unless ithibitishwe na vyombo husika kwamba hana akili timamu...
Kwahiyo aliyeumba hivi viumbe alifanya hivyo akiwa HAI au AMEKUFA?Kila Kiumbe kimeumbwa na Kuweka Mahali kilipo kwa Muda wake na Ikifikia Hatua kitakufa na Kupotea hata Dunia Hii ina Muda Wake itapotea Na Wewe pia Una Muda Wako ukifika utazeeka Na Kufa
Ukipata Majibu Urudi. Maana Huwezi kuiharibu gari yako mwenyewe ulilolitengeneza ukasema Nimelikomoa kwa kulichoma moto.Mkuu naona safari yangu imeishia hapa byebye
Majibu ninayo ila muda wa kukwambia sina maana ushaufanya moyo wako kuwa mgumuUkipata Majibu Urudi. Maana Huwezi kuiharibu gari yako mwenyewe ulilolitengeneza ukasema Nimelikomoa kwa kulichoma moto.
Hana Sifa hizo unazotaka wewe mkuu. UHAI NA UFU ni sifa za Kiumbe. Mungu si Kiumbe kwahiyo Unaposema nikupe jibu unataka nikupe jibu kwamba Mungu ni kiumbeKwahiyo aliyeumba hivi viumbe alifanya hivyo akiwa HAI au AMEKUFA?
Nijibu tu hapo!!