Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,284
- 19,924
Kwa hiyo unamaanisha hujui?Inamaanisha kuwa kitu dhaifu hakiwezi chambua kitu kisicho dhaifu na kuvumbua madhaifu ya kisicho dhaifu.
Mfano: unadhani wale mende chumbani kwako wanaweza kukaa na kujadili uwezo wako?
Namaanisha wewe na mm ni dhaifu sana kujadili uwezo wa MUNGU kwa kiwango cha kutoa hitimisho lisilo na shaka.Kwa hiyo unamaanisha hujui?
Sasa mbona ulikuwa unajadili tangu mwanzoNamaanisha wewe na mm ni dhaifu sana kujadili uwezo wa MUNGU kwa kiwango cha kutoa hitimisho lisilo na shaka.
Mungu amempa binadamu uamuzi wa kufanya lolote alitakalo...Hapa wachague moja kati ya haya mawili
1.) Mungu kama anaijua kesho yetu maana yake ameshapanga kesho yetu, hivyo dhambi zote mtuhumiwa namba 1 ni yeye.
2.) Kama dhambi ni zetu, maana yake yeye hakupanga sisi tufanye dhambi bali ni uamuzi wetu sisi wenyewe, hivyo haijui kesho yetu.
Chagueni moja hapo
Aloo we mchungaji..taaaratibu punguza munkari jibu maswali🤣🤣🤣🤣kuna tofauti sana kwa anayeleta hoja flani kwa kutaka kuelewa na mwngine kwa kuleta ubishani hawa ni watu tofauti ukweli unauelewa ila unaamua kuleta kubisha
chief ukweli ww unaujua ila unaleta hoja ili kuleta ubishani. kuna tofauti kubwa ya mtu kuleta hoja kwa kutaka kuelewa na kutaka kuleta ubishani
mithali 26:4 " usimjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake usije ukafanana nae, umjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake asije akawa mwenye hekima machoni pake"
hapa inategemea mpumbavu unae deal nae kuna ya kujibu pale anapohitaji kuelewa mtu kuna wa kukaa kimya pale anapohitaji tufanane kwa upumbavu
Hoja yako inaonyesha unataka ku-escape responsibilities zako na kumshutumu muumba wako. Alikupa akili na utashi vya kazi gani kama jukumu la kukuziwia wewe usifanye dhambi ni lake? Aliumba mwanadamu timamu mwenye kujua mema na mabaya na sio roboti wa kuongozwa kwa vibatani na vitufe. Mipango ya maisha yako ni wajibu wako, Mungu anahusika kwenye kuifanikisha mipango yako pale tu atakapoamua kumtafuta kwa moyo wako wote, akili zako zote na nguvu zako zote, ndivyo alivyoagiza tumtafute kwa namna hiyo. Mungu anafanya kazi pamoja na wampendao coz hao ndo watendao mapenz yake.Ni ukweli ulio wazi ila ni ngumu kukubalika hasa kwa watu waliokaririshwa imani.
Iko hivi Mungu angekuwa anaijua kesho yako kusingekuwepo na kitu kinachoitwa dhambi, kwa sababu, mfano mtu amechinjwa hapo hakuna dhambi maana tayari mungu alishapanga utachinjwa au huo uovu unaoufanya sasa ungekuwa sio dhambi maana mungu alishapanga.
Njia unayoipitia ndiyo hatima ya maisha yako.
Kuna watu wanamtumikia Mungu mpaka wanazeeka na pia wapo wanamtumikia shetani mpaka wanazeeka.
Pia wapo walikuwa wanamtumikia Mungu ila hawajauona hata ujana.
Maisha ni kama simu tu utachagua uitumieje vile unaitumia ndiyo inakupa majibu unayoyataka wewe.
Najadili kile kilicho ndani ya capacity yetu. Ubongo wako na wangu hauna hadhi ya kujua kama MUNGU anaweza kujua jambo ambalo hujalifikiri kulifanya na kujiandaa kulifanya. Tutapiga porojo tu. Ila tunaweza kujadili kuhusu unalojiandaa kulitenda kuwa analijua hama halijui.Sasa mbona ulikuwa unajadili tangu mwanzo
Jibu kwa kutetea hoja ili na wengine wajifunzeTitle yako tu inaonesha usivyomjua Mungu. Ni bora ungekiri kuwa Mungu hayupo kuliko kukirinuwspo wake kisha ukamshusha uwezo wake!! Mungu anajua yaliyopita, yaliyopo na yajayo (Omniscient). Utambuzi wa Mungu hauna mipaka!
Unabadilisha Nini wakati kasha panga ukitoka kanisani unaenda kwa mchepuko? Je tunaweza kumshangaza Mungu kwa kutenda Jambo ambalo yeye hakulipanga? Kama jibu Ni ndio Basi hajui Kila kitu na Kama jibu Ni hapana Basi huna utakacho badilisha iwe kwa kwenda kanisani au msikitini
Umemjibu vizuri sana asante kwa kuniasidia kujibuUnabadilisha Nini wakati kasha panga ukitoka kanisani unaenda kwa mchepuko? Je tunaweza kumshangaza Mungu kwa kutenda Jambo ambalo yeye hakulipanga? Kama jibu Ni ndio Basi hajui Kila kitu na Kama jibu Ni hapana Basi huna utakacho badilisha iwe kwa kwenda kanisani au msikitini
Uko sahihi kabisa!! sibishi hapo ukijua wazi kuwa huyo ni mungu wako pekee!! na hao mnao muabudu km weye!! na ni wazi kuwa (miungu ni wengi sana Humu Duniani) leo mpaka kesho inategemea wewe umeamuaje!!Ni ukweli ulio wazi ila ni ngumu kukubalika hasa kwa watu waliokaririshwa imani.
Iko hivi Mungu angekuwa anaijua kesho yako kusingekuwepo na kitu kinachoitwa dhambi, kwa sababu, mfano mtu amechinjwa hapo hakuna dhambi maana tayari mungu alishapanga utachinjwa au huo uovu unaoufanya sasa ungekuwa sio dhambi maana mungu alishapanga.
Njia unayoipitia ndiyo hatima ya maisha yako.
Kuna watu wanamtumikia Mungu mpaka wanazeeka na pia wapo wanamtumikia shetani mpaka wanazeeka.
Pia wapo walikuwa wanamtumikia Mungu ila hawajauona hata ujana.
Maisha ni kama simu tu utachagua uitumieje vile unaitumia ndiyo inakupa majibu unayoyataka wewe.
Kwanza Kuna ushahidi wowote unao dhibitisha pasi na kuacha Shaka yoyote kwamba Cain aliwahi kuwepo duniani.Uko sahihi kabisa!! sibishi hapo ukijua wazi kuwa huyo ni mungu wako pekee!! na hao mnao muabudu km weye!! na ni wazi kuwa (miungu ni wengi sana Humu Duniani) leo mpaka kesho inategemea wewe umeamuaje!!
Mfano kuna miungu Baal, Olympio gods, OSLIS nk!...kwa uchache ni makosa ya akili/kutokujua ku generalise mungu wako na Mungu wa wengine! ambaye kamwe kwa hali hii hutamjua!
Lkn Mungu wangu bana! mie amenipa full autonomy nina uwezo wa kuumba km yeye! na nimeumbwa kwa mfano wake!! amenipa uchaguzi wa kuua au nisiue.........kutegemea na nature ya kosa ilivyo;
Kwa mfano Mungu wa Musa kwa kutoa na kumpa maelekezo Musa! aliua wanajeshi kibao wa Misri...paleee Bahari ya sham mpaka leo panaitwa RED SEA KM Hujui sababu kuuubwa ya bahari hii kuitwa ivo ndo hii!!......
kwa mfano mwingine wakoma walipokuwa na uwezo wa Mungu waliwashinda/ua ....Washami........Lkn kumbuka hata Cain kwa uwezo wa shetani alifanikiwa kumuua mdogowe Abel ......
lkn cain muovu aliishi na kuzaa mitoto kibao.....na kizazi hiko kipo wapi kwa siku hizi unadhani?? nakupa home work!
Je unajua kizazi cha cain leo hii ni kipi???.........
Looool! km hujui jambo dogo nmana huyu?? hivi/....... kamwe hutanielewa Maisha yako yoooote !! naongea na kilaza wa imani bin kizazi cha nyoka!...wapi na wapi!....... nyie bana neno haliwahusu!! hata tuwapige nyundo za utosini!Kwanza Kuna ushahidi wowote unao dhibitisha pasi na kuacha Shaka yoyote kwamba Cain aliwahi kuwepo duniani.
Bila shetani hakuna Mungu, ili Mungu awe valid lazima shetani awepo na ndiyo maana wafia dini wote Kila siku ni shetani tu!Dhambi ni uasi dhidi ya Mungu na atendae dhambi ni wa ibilisi.
Mungu ameumbwa na binadamu, ndo maana ha-make sense.Ni ukweli ulio wazi ila ni ngumu kukubalika hasa kwa watu waliokaririshwa imani.
Iko hivi Mungu angekuwa anaijua kesho yako kusingekuwepo na kitu kinachoitwa dhambi, kwa sababu, mfano mtu amechinjwa hapo hakuna dhambi maana tayari mungu alishapanga utachinjwa au huo uovu unaoufanya sasa ungekuwa sio dhambi maana mungu alishapanga.
Njia unayoipitia ndiyo hatima ya maisha yako.
Kuna watu wanamtumikia Mungu mpaka wanazeeka na pia wapo wanamtumikia shetani mpaka wanazeeka.
Pia wapo walikuwa wanamtumikia Mungu ila hawajauona hata ujana.
Maisha ni kama simu tu utachagua uitumieje vile unaitumia ndiyo inakupa majibu unayoyataka wewe.
Badala ya kujibu ulichoulzwa unatoa maelezo meengi yasiyo na maana[emoji706]Looool! km hujui jambo dogo nmana huyu?? hivi/....... kamwe hutanielewa Maisha yako yoooote !! naongea na kilaza wa imani bin kizazi cha nyoka!...wapi na wapi!....... nyie bana neno haliwahusu!! hata tuwapige nyundo za utosini!
Jambo dooogo hivi ??? uliza mambo makubwa makubwa!
Akili kubwa kamwe haiwezi kamatwa na akili kisoda!! daima hamuelewagi! tunalijua hilo kitambo sana!! hapo hkn maelezo mengi!Badala ya kujibu ulichoulzwa unatoa maelezo meengi yasiyo na maana[emoji706]