Mungu hafichi mnafiki (ccm $katiba)

Jacobunge

Senior Member
Oct 10, 2013
129
15
Maeneo ya kule kwetu mara kuna msemo unasema ""kiri omako ja juok" (ikiwa na maana kuwa kuna dawa ambayo ukimpa mtu kama ni mchawi lakini alikuwa anaficha,akinywa hiyo dawa anaanza kuropoka mambo yote aliyokuwa anayafanya kwa siri na kutaja watu aliowauwa/kupanga kuwauwa)

hali hii imedhiirika leo wakati mh pinda akachangia kuhusu rasimu,sura ya 1$6
pinda ameongea mambo mengi ila baadaye akashindwa kuficha unafiki wa chama chake kwa kutamka maneno haya
"TULIWAAMBIA HAWA WENZETU TUBORESHE HII KATIBA YA SASA ,LAKINI WAKAKATAA,,SASA HII SERIKALI TATU ILIYOLETWA , NDO KATIBA MPYA, HAIWEZEKANI!!!!!

Kwa matamshi haya ya pinda, Mtanzania mwenye akili timamu atakuwa ameelewa nia ovu ya ccm
na kamwe haiwezekani mtu timamu kuwaunga mkono

NATOA RAI KWA VIJANA WANAOJITAMBUA KUTAMBUA SURA YA FISI ILIYOFICHWA KWA NGOZI YA KONDOO KUPITIA HAWA WANYAN'GAU CCM
 
Na ndicho kinachofanyika kuweka viraka katiba ya 1977 kwa ujinga wa kusema katiba mpya. Ujinga wetu ndio CCM itatupa jiwe na kuchukua almasi nasi tukibaki na furaha.
 
Maeneo ya kule kwetu mara kuna msemo unasema ""kiri omako ja juok" (ikiwa na maana kuwa kuna dawa ambayo ukimpa mtu kama ni mchawi lakini alikuwa anaficha,akinywa hiyo dawa anaanza kuropoka mambo yote aliyokuwa anayafanya kwa siri na kutaja watu aliowauwa/kupanga kuwauwa)

hali hii imedhiirika leo wakati mh pinda akachangia kuhusu rasimu,sura ya 1$6
pinda ameongea mambo mengi ila baadaye akashindwa kuficha unafiki wa chama chake kwa kutamka maneno haya
"TULIWAAMBIA HAWA WENZETU TUBORESHE HII KATIBA YA SASA ,LAKINI WAKAKATAA,,SASA HII SERIKALI TATU ILIYOLETWA , NDO KATIBA MPYA, HAIWEZEKANI!!!!!

Kwa matamshi haya ya pinda, Mtanzania mwenye akili timamu atakuwa ameelewa nia ovu ya ccm
na kamwe haiwezekani mtu timamu kuwaunga mkono

NATOA RAI KWA VIJANA WANAOJITAMBUA KUTAMBUA SURA YA FISI ILIYOFICHWA KWA NGOZI YA KONDOO KUPITIA HAWA WANYAN'GAU CCM

Tafuta habari hiyo siyo habari Mse.ng
 
ndugu zetu wapenda mageuzi Tanganyika tulieni msifadhaike na mbinu za hawa vinganganizi wa mfumo huu. sisi wazanzibar tumejipanga vizuri kuhakikisha hawa jamaa watasuka au watanyoa lakini kiwembe tushawapa. na huo ndio msingi wa mabadiliko ya kumi ya katiba 2010.
 
watu mnatafuta ban makusudi asee siasa imetupeleka pabaya??? saivi siasa ni matusi
 
Back
Top Bottom