kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 374
- 395
Shabiki wa timu ya Zamalek ya Misri baada ya kuona orodha ya timu walizopangwa nazo kwenye kundi lao, ametoa maoni yake kuhusu kundi hilo.
"Tutacheza dhidi ya MC Alger kutoka Algeria, Yanga Africans, na Club Africain kutoka Tunisia. Alhamdulillah (Namshukuru Mungu), semeni Alhamdulillah, Insha'Allah (Mungu akipenda) mambo yatakuwa sawa, na msimu huu utakuwa mgumu sana. Mambo yataenda kama yatakavyoenda, lakini sisi ndio mabingwa wa michuano hii."
"Sisi ndio bora zaidi kwenye mashindano haya, hakuna utani hapa."
"Sawa basi, twende taratibu; vaeni nguo zenu kwa sababu tuna mechi yetu baada ya masaa mawili. Kuhusu utabiri wangu, tutaifunga Club Africain, tutatoka sare dhidi ya MC Alger, na kwa vyovyote vile, mechi dhidi ya Yanga Africans imeshamalizika (tayari tumeshinda)."