Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

Christinaa

Member
Jul 16, 2016
26
74
Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima.

Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu hii imenitia moyo sana na kuona kumbe inawezekana.

Last year nilikuja na uzi wa kutafuta mwenza ila sikuweza fanikiwa na sina wa kumlaumu katika hili

Umri wangu kwasasa ni 28
Ni mkristo

Hitaji langu ni kumpata mwenza alie smart in and out

Sichagui rangi, urefu sijui ufupi ila uwe tu smart sababu naamini mume ni zaidi ya physical appearance

Umri usiwe chini ya 30

Na ni vizuri ukiwa ni mkristo

Mambo mengine ya msingi tutafahamishana pm

Karibuni!
 
Mimi ni mkristo na nimeoka kweli... Na ninahitaji kuwa na wewe..Niko mwanza. Karibu Ili tuendeleze maisha kwa utakatifu..Niko tayari kufata taratibu za kanisa hadi mwisho

mwanza kwetu
 
Back
Top Bottom