fieldmashal
Member
- Nov 22, 2015
- 78
- 3
Me nataka kufa jamani namiaka mitatu sasa nakosa boom hahi nahisi bora ningezaliwa nyani ulaya kuliko kuwa mutu Tz lnchi iliyojaa undugunization na rushwa hasa samaki wakubwa kama wafanyakazi wa heslb mimi kama mwanafunzi ninayeendelea na masomo mwaka wa pili sasa na chuo wameshafungua(udom) ndugu zangu wanajukwaa ikumbukwe kuwa nilikuwa nasomesha na serikali toka kote nilikopita kwani me ni yatima na sina uwezo wa aina yoyote ile mwaka 2013 nilihitim kidoto cha sita na kufauru hivyo nikaaplay chuo mkopo nikakosa ikanilazim kuahilisha chuo mwaka uliofata nikaaplay tena nikapata chuo mkopo nikakosa tena education udom hivyo nilikuwa napiga tempo nikapata hela kidogo kwa ushauri nikaona nitazeheka nikaenda kuripoti chuoni nimeteseka sana ikafika sehemu nikaishiwa hadi chupi kwa maisha ya udom yalivyo magumu nimejikomba hadi mwaka ukaisha nimeomba mkopo tena jamani ndiyo hivo nashindwa nifanyeje jamani naomba ushauri wenu sina pakushika ndugu zangu na chuo ndiyo wanaendelea
nedna kaonane na Mkurugenzi wa bodi ya mikopo. Akikataa kuonana na wewe neda wizara kaonane na katibu mkuu. Uende na vielelezo kama unakizi matakwa ya mkopopole sana kk hii nchi jamani imejaa undugu sanaa... Ila itafahamika tuu
vielelezo kuwa wewe ni yatima uliweka kwenye fomu za maombi?
kama upo mwaka watatuu pambanaaa,,,, umalizee achana naooo
Pole jombi weka namba wadau wakuchangie kidogo
Pole sana. Haya yasingekupata kama ccm isingeunda serekali, maana wale jamaa wengine waliahidi elimu ya bure hadi chuo kikuu.
Nenda ofisi za bodi pale, ila jitahidi uandishi wako mwalimu unaandika kama upo darasa la tatu
Ahsante kwa ushauri mkuu siyo hivo uandishi huu unaonesha kiasi gani naumia
Kwani ukiumia ndo uandike "kuzeheka" badala ya kuzeeka, teh pole mwaya....nenda ofisi zao pale sheli onana na wahusika jieleze wa kusaidia ila pia unaweza kuanzia kwa dean of students nae anaweza kukupa mwongozo
Nenda ofisi za bodi pale, ila jitahidi uandishi wako mwalimu unaandika kama upo darasa la tatu
Bonge la ushauri mkuu ila nasikia pale bodi wanamajibu ya kunya sana hawa watu da Mungu anisaidie