Point of No Return 19
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 203
- 476
Tumepoteza vingi wakati tunachagua vilivyo bora,
Tumeumia sana wakati tunaitafuta furaha,💔💔
Kuna waliotuacha na kutukataa kwasababu tulionekana hatuendani nao kwasababu hawajui tunachopitia 😭😭💔 tena kwasababu ya roho zetu nyepesi zilizojaa upendo walituona wajinga na kutusaliti 💔💔😭😭
Licha ya vikwazo vyote bado tumesimama na kuendelea mbele bila wasiwasi kwa maan MUNGU atabaki kuwa MUNGU kwenye maisha yetu🙏🙏