Mungu anipe moyo wa chuma

Mungu anipe moyo wa chuma

Hebu jaribu kutafakari Kuna binti ulimuacha katika hali ambayo yeye alikuhitaji ila ukasema najipooza tu sina malengo naye, sasa inakuaje pale ambapo na wewe umepata unayehisi ni malengo yako kumbe naye anakuona wewe ni kupitisha muda, kabla ya kulia unatakiwa kufikiria yametokeaje
Watu hawataki kukubali kwamba Karma Ipo na inafanya kazi
 
😂😂 jamaniiiii
Naona vile unaoanisha na kubaki unachekelea rohoni.

Em kwanza fumba macho tuombe kheri na baraka.. tupokee muujiza ile ‘kisiriasi’ 😂😂
😂😂😂😂
A huge Amen to that Mtumishi wangu, Napokea IJN..!!
Hii maombi ikijibiwa, I'll let you know first, 'promise'...!
 
Kikubwa mkuu ni kua na wanawake wengi tuu. Akisema tuachane wewe unajibu short and clear "ok"

Akizingua una hamishia upendo kwingine kuwa na wanawake 10 wa kukupa mzigo maana sisi wanaume kinachotusumbua sana ni hizo nyapu zao hakuna kingine

Sasa nyie tuoneni sisi wenye wanawake wengi ni malaya shauri yenu
 
😂😂😂😂
A huge Amen to that Mtumishi wangu, Napokea IJN..!!
Hii maombi ikijibiwa, I'll let you know first, 'promise'...!
Eiiiimeeeen mama matikiti🙏❤️

#God Over Everything..
 
Yani ile siku hata nikiona text isiyoelewaka katika simu yake nisipanic, nimuulize tu nani huyu? asiponipa majibu yakueleweka hata isiniumize kichwa nilale kwa amani kabisa asubuhi niamke niende katika mishe zangu huku maamuzi ya busara ya kumuacha yakiwa njiani

Mungu anipe moyo wa chuma hata ile siku akiniambia kama vipi niache isiniumize kichwa hata kidogo, na nimuulize upo sirias unahitaji nikuache? Ikiwa jibu ndio basi hata nisisite kufanya hayo maamuzi ya busara

Mungu anipe moyo wa chuma usioendeshwa na kitu mapenzi hata kiduchu
Mungu anipe moyo wa chuma wa kuwa tayari kupokea matokeo yoyote mda wowote,
Yani ikisemwa it's over, it's over hakuna haja ya kwenda kumzonga muamuzi tena sijui mbona dakika chache

Mungu anipe moyo wa chuma niweze yafurahia maisha bila ya expectation yeyote kwa mtu fulani,
Maisha ni mafupi haya, sisi binadamu hatutabiriki hata sekunde mbili[emoji23][emoji23]

Mungu anipe moyo wa chuma Mimi Ndugu Bwana Fene,
Wanajf tuseme Ameeen[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wanaume jamani jamani tunapungua sana mbona ?

Yaani moyo wa mwanaume umeumbwa kutokupenda na ndiyo maana analazimishwa Kwa Sheria apende wewe kubaki upende Kwa Sheria siyo Kwa moyo, ukipenda Kwa moyo uko mbioni kufa au kuua .
Mwanaume penda Kwa Sheria siyo Kwa moyo narudia .

Shetani anawasaka sana wanaume wapende Kwa moyo ili awasaidie kufa mapema , na akili ya mwanamke ilivyo fyatu akijua umempenda Kwa moyo wako wote atakunyanyasa mno maana huwezi furukuta kabisa [emoji1787]

Amri zote za upendo ni Moja tu isemayo mpende bwana MUNGU WAKO KWA MOYO WAKO WOTE. Hakuna amri ya kupenda Kwa moyo wako zaidi ya MUNGU. ukipenda kitu Kwa moyo wako ameshakuwa Mungu wako huyo lzm utamwabudu

Mwanamke mpende Kwa Sheria siyo Kwa moyo.

Mwanamke aliumbiwa kupenda, na anajua kupenda ili abalance akakosa utiii ndiyo maana analazimishwa atiii naye anatii Kwa Sheria mwanamke hapaswi kutii kutoka moyoni anapaswa kutii Kwa Sheria ndiyo mwanaume lazima uwe na uwezo wa kumtiisha mkeo , lzm atii Kwa Sheria ukiona anatii tu Kila kitu utapata shida [emoji23]

Nikomee hapo Kwa leo siku nyingine nitawaambia wanaume tu

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom