Mungu anipe moyo wa chuma

Mungu anipe moyo wa chuma

Mungu hatoi moyo wa chuma, tena anakuambia nitauondoa moyo wa jiwe huo unaoutaka wewe na atakupa moyo wa nyama, ila jitahidi kuulinda sana Moyo kuliko vyote unavyolinda
Sawa
 
Yani ile siku hata nikiona text isiyoelewaka katika simu yake nisipanic, nimuulize tu nani huyu? asiponipa majibu yakueleweka hata isiniumize kichwa nilale kwa amani kabisa asubuhi niamke niende katika mishe zangu huku maamuzi ya busara ya kumuacha yakiwa njiani

Mungu anipe moyo wa chuma hata ile siku akiniambia kama vipi niache isiniumize kichwa hata kidogo, na nimuulize upo sirias unahitaji nikuache? Ikiwa jibu ndio basi hata nisisite kufanya hayo maamuzi ya busara

Mungu anipe moyo wa chuma usioendeshwa na kitu mapenzi hata kiduchu
Mungu anipe moyo wa chuma wa kuwa tayari kupokea matokeo yoyote mda wowote,
Yani ikisemwa it's over, it's over hakuna haja ya kwenda kumzonga muamuzi tena sijui mbona dakika chache

Mungu anipe moyo wa chuma niweze yafurahia maisha bila ya expectation yeyote kwa mtu fulani,
Maisha ni mafupi haya, sisi binadamu hatutabiriki hata sekunde mbili[emoji23][emoji23]

Mungu anipe moyo wa chuma Mimi Ndugu Bwana Fene,
Wanajf tuseme Ameeen[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Oi MrJobless ndugu adriz na Kaka mkubwa Frustration Njooni huku mdau shemeji kamuwekea guu la shingo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Pole Sana hii hatua uliyofikia sio nzuri itabidi urudi tena Tie 10
 
Jombaa ayo hayaji kirahisi ivo kamata mbusus zichape sana mengine yatakuja automatic.
POV; Usianze mapenz kabla hujatimiza 18
 
Ukiona umefika stage hii ujue we ni mala.yer… yan hujali na hutopata maumivu mkitengana sababu utakuwa umejaza costa huko nyuma inakusubiri
No, sio mala.yer ni vile tu kutaka kuishi maisha ya amani, maisha yenyew mafupi haya bado pia mtu uteseke[emoji849]

Tuseme ameen maombi yapite bana[emoji23]
 
Hebu jaribu kutafakari Kuna binti ulimuacha katika hali ambayo yeye alikuhitaji ila ukasema najipooza tu sina malengo naye, sasa inakuaje pale ambapo na wewe umepata unayehisi ni malengo yako kumbe naye anakuona wewe ni kupitisha muda, kabla ya kulia unatakiwa kufikiria yametokeaje
Wengine hawana msururu lakin bado wanakutana na vitu vizito
 
Its not fululu scam kama umependana na wa ubavuni… ila nae iko siku lazima akutetemeshe kidogo
Kwanini sasa akutetemeshe[emoji23]

Au ndo milima na mabonde?
 
Kwanini sasa akutetemeshe[emoji23]

Au ndo milima na mabonde?
Kwenye raha hapakosi shida za hapa na pale… mara nyingi zinakuwaga za kujitakia, labda jamaa ametingwa yuko busy anapigiwa hashiki cm, mams anaanza kumuwazia vibaya… ndo mitetemesho yenyewe hiyo
 
Ni kufuta vumbi na kusonga mbele, ila hii ya kuambiana/kuambiwa huwa siipendi sana, ile ya kimya kimya inapunguza machungu. Ulizoea text asubuhi, mara inaingia saa8 unajisemea tu hapa hamna shughuli, mara siku-24hrs zimekata hamna hello wala [emoji112], unapigia jibu lako mstari na kusonga mbereeee.
Nimekupata vyema mkuu
 
Bado ujasema na utasema, katika maisha lazima humizwe kwanza ndo moyo wako uwe ngangali na shupavu.

Maumivu ya mapenzi ayakimbiliki tena ukiwa unaoenda kweli, usiogope ni moja ya mapito ya maisha. Vumilia na potezea tu vitu hvyo akuna shupavu wala staring ktk mapenzi.

Omba usiumizwe sana tu. Unaweza ukasema umtafute mbadala wake ila bana ukapata maumivu vile vile. Usipende sana na kuwa bize sana na maisha yako na vitu ambavo vitakiwa vinakupa furaha zaidi ya mapenzi ndo uta win
Kabisa mkuu
 
Yule mtu wa kwanza kumpenda ndo atayekufanya udefine mapenzi vizuri au vbya! Kwa hatua nliyopo hata nikute mnakandana na demu wangu hata sishtuki naenda kupata alkasus
 
Alokwambia moyo unakuwaga mgumu kirahisi tu nani?!
Lazima ukutane na watoto wa shetani kwanza utesekeee ndio uwe ngangari.
Ule moyo mgumu unatokana na mazoea ya mateso 🤣🤣
 
Back
Top Bottom