Katika hao wa Amaleki waliohukumiwa kufa kumbuka kuna hadi watoto wanao nyonya nao wamejumuishwa1Samwel 15:3
Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng’ombe na kondoo, ngamia na punda
Kosa la Amaleki walilofanya ni ili, wakastahili kupata walichopata
Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa
Kutoka 17:8. Wakati huo Waamaleki wakatokea, wakapigana na Israeli huko Refidimu.
Torati 25:17-19
Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;
jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu.
Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha BWANA, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau.
Haya maandiko yamenifundisha kitu kingine zaidi. Naamini haya ni maandiko kwenye biblia ambacho ni kitabu kitakatifu kwa wakristo! Kama ndivyo, how comes wakristo wanazuiwa kulipa kisasi wakati hapa naona kama Mungu anawa amuru Jews kulipa kisasi kwa walichotendewa na wa Amaleki?1Samwel 15:3
Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng’ombe na kondoo, ngamia na punda
Kosa la Amaleki walilofanya ni ili, wakastahili kupata walichopata
Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa
Kutoka 17:8. Wakati huo Waamaleki wakatokea, wakapigana na Israeli huko Refidimu.
Torati 25:17-19
Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;
jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu.
Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha BWANA, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau.
Dhambi ni kumkosea Mungu.Hiyo dhana dhambi kuhusu viumbe tu umeitoa wap?
Roho ni nishati haiRoho ni nini?
Roho ni nishati haiRoho ni nini?
Mungu ni dictator sio? Anagawa maumivu tu kwa wengine.Sasa kama yeye ndo mwandishi wa dhambi zako, kitabu anacho yeye, atajiandikaje kwa mfano? Na nani ambaye atamhukumu wakati hukumu ndo anatoa yeye?
Dah! Watu wanamcharura Mungu mpaka naogopa. kuna mmoja kasema Mungu hana huruma kawaandalia moto wanadamu na hapaswi kunyenyekewa.Ukiangalia comments na majibu humu ni dhahiri kabisa hizi dini tumeletewa tu
Kitu kiwe hai kinatakiwa kuwa na sifa zipi?Roho ni nishati hai
Ukitaka kumkosea mungu inabidi ufanye nini?Dhambi ni kumkosea Mungu.
Nadhani hapa umeelewa
Ukiweka sheria kwako mwisho kwa mwanafamilia yeyote kuingia ni saa3...wewe ukiingia saa4 umeivunja hiyo sheria au hujaivunja?Dhambi ni kwenda kinyume na matakwa ya Mungu. Hence, kwake dhambi si kitu na haina maana kabisa!
i.e 1 ÷ 0 = undefined expression
Ni sawa na wewe uweke sheria kwako kuwa mwisho wa wanafamilia kuingia ndani ni saa moja, halafu wewe uingie saa tatu
Sijuwi mumenielewa!
Kwa kuwa dhambi ni tendo chukizi mbele ya Mungu. Yeye sasa ndo kashakuwa Mungu hivyo
DHAMBI ni uasiKwa uelewa wako DHAMBI ni nini, tuanzie hapo kwanza...?
Kiwe na rohoKitu kiwe hai kinatakiwa kuwa na sifa zipi?
Mkuu unanichanganya maana unanizungusha na majibu cyclicalKiwe na roho
Mungu ni nan dhambi ni nini tuanzie apo kwanza , coz kuna vtu kwa wengne ni okey kwa wengne sio okeyWakulungwa vipi?
Kuna swali huwa linanitatisha.
Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.
Na mungu ana free will.
Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
kama anaweza kwenda kinyume na sheria zake mwenyewe basi anaweza kutenda dhambi , nahata akitenda dhambi ww utafanya nini labda?Kwenda kinyume cha sheria za mungu
Shetani ni spiritual being au physical being?Mungu hana dhambi, sio kutenda God is not physical being km wewe na mimi ni spiritual being and spiritual means love