Mungu anawaona mjue.......

Macho ya Bwana yapo kila mahali yakimchunguza mbaya na mwema. Kwa hiyo kila unalotenda Bwana Mungu anakuona ujue, shauriyo
The unseen is illustrated by the seen.
 

Mnaojifanya kuongea na simu kumbe ni pozi la kuwapita watu bila salaam.............................Mungu anawaona!
 
nimeshnda salama mpendwa,ndo nafunga vyangu virago kurudi hm! uwe na jion njema. . .

Thanks d'.......uwe na jioni njema pia......nipitie hapa saluni twende wote home.....msusi ashamaliza kunisuka lol
 
Mnaojifanya kuongea na simu kumbe ni pozi la kuwapita watu bila salaam.............................Mungu anawaona!

Hahahahaha Mwanyasi hii imenigusa manake ndo zangu tehe tehe!......duuu kumbe Mungu ananiona lol itabidi niache.
 
Last edited by a moderator:
Wale wote wanaosema wako Single na wakati wana wapenzi zaidi ya Watatu....Mungu Anawaona

Hii kali dah....wapenzi zaidi watatu afu bado unajitangaza uko single??????......Mungu anawaona
 
he he he.....na wale wanaopeleka nyama kwa kimada.....watoto nyumbani wanakula kabichi kavu....Mungu anawaona.....

Hii Mungu akikuona akimaliza anakupiga na laana hapo hapo lol.......kabichi kavu tehe!.....kimada nyama asee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…