Mungu anajibu maombi

Mungu anajibu maombi

Mnajitia muombe mungu wakati kwenye mapochi na mifuko yenu mmebeba hirizi?

Kweli wewe ni Mmawia,ulivyokomment sijui umekula maharage ya wapi???,nadhani yalikuwa yamechacha maana watu wanazungumza habari za Mungu lkn wewe unaleta habari za hirizi hapa wapi na wapi???!!!!!!.
 
Imani ni kitu comlicated sana, hapa kuna ujumbe nimeupata na pia kuna jambo limenichananya.

Umefurahia mbaya wako kuwa chini yako sasa? Sijaelewa kwenye part ya kufukuzwa part na kuja kwako kutafuta kazi.
Hivi comlicated maana yake ni nini??,hizi lugha za wenzetu km hatuzijui ni bora kuziacha km zilivyo tu!,na hiyo ID yako inanitia mashaka.
 
kimsingi kuna mashaka juu ya uwepo wa mungu!

hiki unachokishangilia kweli wewe unadhani ni uwepo wa mungu? mungu gani huyo uliye naye ambaye unashangilia eti mwenzako kafukuzwa kazi? na haya ndiyo watu wanashuhudia makanisani eti mungu kanitendea muujiza.

leo hii ukibishana na mtu kuhusu mambo ya imani anasema subiri na katika kusema subiri mungu atajidhihirisha anategemea upate matatizo na ndio uje kutambua uwepo wa mungu.

tunaamini mungu ni the creator of everything sasa nguvu ya creation umewahi kuiona wapi? yaani kiumbe aliyetengeneza ulimwengu huu au viumbe vyote leo hii anakuja kumfukuzisha kazi bosi wako anayekuchukia bila wewe kujua sababu? huko ni kusema kiumbe huyo amefilisika. lakini wewe unayeshangilia kufukuzwa kwa mwenzako je atakuacha huru?

ninachotaka kukueleza kuna uwezekano wa imani kutokutoka unakokudhani na kule imani zinakotoka wanatake advantage ya matukio au kuchochea baadhi ya matukio alafu unaletewa mawazo mungu kafanya kazi. kwa logic ya kawaida mungu hawezi kufanya hilo unalolishangilia ila kitu kinaweza kujifanya mungu kikafanya upumbavu ukashangilia na chenyewe kikabaki kinakucheka. kama wengine wanavyodanganywa kuwa ukichinja albino utapata mali basi wanachinja na kinachowadanganya kinabaki kuwacheka.
Elli

Wewe haujamuelewa mtoa mada kabisa yaani hapo ni bila bila.
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe ni Mmawia,ulivyokomment sijui umekula maharage ya wapi???,nadhani yalikuwa yamechacha maana watu wanazungumza habari za Mungu lkn wewe unaleta habari za hirizi hapa wapi na wapi???!!!!!!.

Wewe mwenyewe hapo una hirizi
 
Umenitouch Mkuu. Ofcn kuna changamoto za kutosha. From nowhere unachukiwa. Mungu atabakia kuwa mwema!!!
 
Unataka kutuambia kuwa kwa kusali kwako ndio kulisababisha huyo boss wako afukuzwe kazi? Kama jibu ni ndiyo,hizo sala bado unaziona kuwa ni kimbilio kwa watu wote wenye kuamini?

amesema alipandishwa cheo,akahamishiwa marekani,hivyo amani katika ajira ikarudi,kufukuzwa kazi was her fate.mbona umeshikilia point moja tu ya kufukuzwa kazi.we kweli Mmawia!
 
e4233f11-71c4-4fee-8c78-b39588b0482b-medium.jpeg
 
kimsingi kuna mashaka juu ya uwepo wa mungu!

hiki unachokishangilia kweli wewe unadhani ni uwepo wa mungu? mungu gani huyo uliye naye ambaye unashangilia eti mwenzako kafukuzwa kazi? na haya ndiyo watu wanashuhudia makanisani eti mungu kanitendea muujiza.

leo hii ukibishana na mtu kuhusu mambo ya imani anasema subiri na katika kusema subiri mungu atajidhihirisha anategemea upate matatizo na ndio uje kutambua uwepo wa mungu.

tunaamini mungu ni the creator of everything sasa nguvu ya creation umewahi kuiona wapi? yaani kiumbe aliyetengeneza ulimwengu huu au viumbe vyote leo hii anakuja kumfukuzisha kazi bosi wako anayekuchukia bila wewe kujua sababu? huko ni kusema kiumbe huyo amefilisika. lakini wewe unayeshangilia kufukuzwa kwa mwenzako je atakuacha huru?

ninachotaka kukueleza kuna uwezekano wa imani kutokutoka unakokudhani na kule imani zinakotoka wanatake advantage ya matukio au kuchochea baadhi ya matukio alafu unaletewa mawazo mungu kafanya kazi. kwa logic ya kawaida mungu hawezi kufanya hilo unalolishangilia ila kitu kinaweza kujifanya mungu kikafanya upumbavu ukashangilia na chenyewe kikabaki kinakucheka. kama wengine wanavyodanganywa kuwa ukichinja albino utapata mali basi wanachinja na kinachowadanganya kinabaki kuwacheka.
Elli

Haujamwelewa mleta mada umesoma juu juu ukaanza kudhihirisha UPUMBAVU wako. Zaburi 14:1 "MPUMVAVU ASEMA MOYONI HAKUNA MUNGU......"
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu na ndiyo maana sitaki makazi ya kuajiriwa haukuna itakayo kupa amani ya moyo kabisa.
Ok..Kwa hiyo unataka sema na kwa sala zako ndiyo ziliyopelekea huyo mama mpaka kufukuzwa kazi?

Bora umemuuliza maana watu wanaamini kuna mungu hadi inatokea kwamba akipata shida /matatizo huwa anasema eti mungu kampa jaribu.
Na akipata afueni /matatizo yakiisha huwa anasema eti mungu kasikia maombi yake. 😀 na akifa wanasema mungu kampenda zaidi! Hizi sio bangi ni nini?.
 
kimsingi kuna mashaka juu ya uwepo wa mungu!

hiki unachokishangilia kweli wewe unadhani ni uwepo wa mungu? mungu gani huyo uliye naye ambaye unashangilia eti mwenzako kafukuzwa kazi? na haya ndiyo watu wanashuhudia makanisani eti mungu kanitendea muujiza.

leo hii ukibishana na mtu kuhusu mambo ya imani anasema subiri na katika kusema subiri mungu atajidhihirisha anategemea upate matatizo na ndio uje kutambua uwepo wa mungu.

tunaamini mungu ni the creator of everything sasa nguvu ya creation umewahi kuiona wapi? yaani kiumbe aliyetengeneza ulimwengu huu au viumbe vyote leo hii anakuja kumfukuzisha kazi bosi wako anayekuchukia bila wewe kujua sababu? huko ni kusema kiumbe huyo amefilisika. lakini wewe unayeshangilia kufukuzwa kwa mwenzako je atakuacha huru?

ninachotaka kukueleza kuna uwezekano wa imani kutokutoka unakokudhani na kule imani zinakotoka wanatake advantage ya matukio au kuchochea baadhi ya matukio alafu unaletewa mawazo mungu kafanya kazi. kwa logic ya kawaida mungu hawezi kufanya hilo unalolishangilia ila kitu kinaweza kujifanya mungu kikafanya upumbavu ukashangilia na chenyewe kikabaki kinakucheka. kama wengine wanavyodanganywa kuwa ukichinja albino utapata mali basi wanachinja na kinachowadanganya kinabaki kuwacheka.
Elli

Nadhani hapa atakuwa kashakuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nikuulize kidogo mkuu.
Wewe unaamini mungu yupo au unajua mungu yupo?
 
Wewe mwenyewe hapo una hirizi

teh!teh!teh!teh!,wamawia utawajua yaani mawazo yako ni hirizi tu!,badilika ndugu jitahidi ukombolewe kifikra,yaani mimi hiyo hirizi huwa nasikia tu lkn tangu kuzaliwa kwangu sijui hata inafananaje,nashangaa unavyosema eti mimi ninayo;Watu km ninyi mnarudisha maendeleo nyuma sana maana bado mpo gizani.
 
Mtoa mada anamsingzia Mungu alchagua mwenyewe kukosa aman ya moyo Mungu hajajbu kitu kama hicho Ajifunze upendo wa Mungu
 
watu wawili wanapotofautiana kila mmoja humuona mwenzake ni mpumbavu sasa anayejua huwa hakurupuki kuwaita wenzake wapumbavu bali huwa anatazama kile anachosema mwenzake anabaini mapungufu.

binafsi huwa naangalia ulilolisema lina mapungufu gani kwa mtizamo wangu alafu nakuambia ujipime mwenyewe.

huwezi kuprove usahihi wa imani kwa kutumia imani yenyewe, namaanisha huwezi kusoma biblia, au qorani au kusikiliza hadithi za imani za jadi kuzitumia kuonyesha usahihi wa imani hizo maana hayo unayoyasoma yameandaliwa kana kwamba hicho kipo yawezekana ni kweli au ni uongo.

hivyo tunahitaji habari isiyolalia upande wowote kuweza kubaini zaburi unayoisoma kwanza ilitoka wapi? maana yawezekana unaisoma lakini kama wewe au wenzako wanavyoibuka leo hii na kuandika vitabu na kudai ni ujumbe wa mungu yawezekana hata zaburi yako ilikuja kwa mtindo huo huo.

ili uzome zaburi na kuitumia kama ushahidi tunahitaji kuprove zaburi kwanza ilitoka wapi.

naweza kukueleza jambo moja tu kuwa zamani kabla ya imani yako kuzaliwa waliamini katika imani za jadi na walikuwa na misimamo kama ya kwako lakini ilikuja kufahamika kuwa imani zile zilikuwa upotoshaji tu je unauhakika imani yako haitapitwa na wakati?

Back
Top Bottom