Mungu anajibu maombi

Mungu anajibu maombi

The problem associated with commynication in tz is ; they always listn n readng to answer not to understand. wakuu tujitahid kuelewa. Good lesson Mungu akubariki kushare na sisi
 
The problem associated with commynication in tz is ; they always listn n readng to answer not to understand. wakuu tujitahid kuelewa. Good lesson Mungu akubariki kushare na sisi
Ni kweli kabisa, especially when mtu anapo-comment huku akiwa tayari ana mtazamo wake. Thanks
 
kimsingi kuna mashaka juu ya uwepo wa mungu!

hiki unachokishangilia kweli wewe unadhani ni uwepo wa mungu? mungu gani huyo uliye naye ambaye unashangilia eti mwenzako kafukuzwa kazi? na haya ndiyo watu wanashuhudia makanisani eti mungu kanitendea muujiza.

leo hii ukibishana na mtu kuhusu mambo ya imani anasema subiri na katika kusema subiri mungu atajidhihirisha anategemea upate matatizo na ndio uje kutambua uwepo wa mungu.

tunaamini mungu ni the creator of everything sasa nguvu ya creation umewahi kuiona wapi? yaani kiumbe aliyetengeneza ulimwengu huu au viumbe vyote leo hii anakuja kumfukuzisha kazi bosi wako anayekuchukia bila wewe kujua sababu? huko ni kusema kiumbe huyo amefilisika. lakini wewe unayeshangilia kufukuzwa kwa mwenzako je atakuacha huru?

ninachotaka kukueleza kuna uwezekano wa imani kutokutoka unakokudhani na kule imani zinakotoka wanatake advantage ya matukio au kuchochea baadhi ya matukio alafu unaletewa mawazo mungu kafanya kazi. kwa logic ya kawaida mungu hawezi kufanya hilo unalolishangilia ila kitu kinaweza kujifanya mungu kikafanya upumbavu ukashangilia na chenyewe kikabaki kinakucheka. kama wengine wanavyodanganywa kuwa ukichinja albino utapata mali basi wanachinja na kinachowadanganya kinabaki kuwacheka.

Ni aidha mvivu wa kusoma au mgumu kuelewa ....ameongelea kuwa alikuwa anaomba kuwa na amani na bosi wake wa zamani not otherwise...
 
Elli ubarikiwe mnoo kwa ushuhuda wako. Nimekuelewa vizuri sana.

Uliamua vyema kuomba kuwa na amani na huyo mama. Kwa sababu ungeamua kutenda mabaya, basi Inawezekana wewe ndo ungeachishwa hiyo kazi kwa sababu hujui yeye ana nguvu gani. Lakini kwa kuwa uliomba kuwa na amani na huyo mama, basi haki yako ilikuwa kubwa kuliko ya huyo mama.

Hukumuombea mabaya, Ila yeye ndo alishupaza shingo yake na ndio maana mabaya yakampata.
Angetafuta kupatana na wewe basi angekuwepo kazini hadi sasa hivi.

Wakati mwingine sio Kwamba tunaombea wengine mabaya. Lakini Inawezekana mahali walipo wao, ndipo mahali sahihi tulipoandaliwa sisi. Tunadeserve kuwepo pale, basi wewe utaomba Mungu afanye kitu ili wewe uwepo sehemu yako sahihi. Wasipoondolewa pale, wewe utafikaje?

#Barikiwasana #
 
Last edited by a moderator:
Umeligundua hilo? Sasa hapo ucha mungu unatoka wapi wakati unamuombea kiumbe mwenzio apatwe na matatizo?
e6dfea69-d8ee-4499-9150-631a09bd8a4f-medium.jpeg
 
mwl wangu wa geog alinichukia mnoo ila mock mbili niliongoza somo lake akaniita ofisini na kuniambia mi najua utantoa kimasomaso jitahdi mdogi wangu...!!
 
Ubarikiwe sana .Mwenyezi Mungu azidi kukupa moyo wa huruma kumsaidia huyo mama.
 
Siku zote Mungu anajibu maombi ukiwa na jambo lolote lile usiongee na wanadamu wewe ongea na Mungu na yeye huwa anasikia na kujibu
 
Duuh kwa hio hayo maombi yako uliyomuomba Mungu ndo kakujibu kwa dizaini hiyo ya kufukuzwa Kazi bosi wako?Ni Mungu yupi huyo?huyuhuyu Wa Israe?Huyu Wa Ibrahim,Isaka na Yakobo au???kama ni huyu sidhani.....am not sure
 
Kama huyo Mungu unaemuomba anakuskiliza na kukujibu na ule uchungu Wa manyanyaso kutoka kwa bosi vile ambavyo ulikuwa unaumia hadi ukaamua kuomba,Umia tena kufukuzwa Kazi kwa boss wako na Muombe tena Mungu arudishwe kazini
 
Kama huyo Mungu unaemuomba anakuskiliza na kukujibu na ule uchungu Wa manyanyaso kutoka kwa bosi vile ambavyo ulikuwa unaumia hadi ukaamua kuomba,Umia tena kufukuzwa Kazi kwa boss wako na Muombe tena Mungu arudishwe kazini
Mpwa hebu soma vizuri zaidi unielewe
 
Duuh kwa hio hayo maombi yako uliyomuomba Mungu ndo kakujibu kwa dizaini hiyo ya kufukuzwa Kazi bosi wako?Ni Mungu yupi huyo?huyuhuyu Wa Israe?Huyu Wa Ibrahim,Isaka na Yakobo au???kama ni huyu sidhani.....am not sure

Mkuu hajafurahishwa huyu aliekuwa bosi wake kufukuzwa kazi, angefukuzwa kazi na kuendelea kuwa kimya bado Elli angendelea kuumia na kujiuliza ni nini kimesababisha chuki ile. Elli amefurahishwa na kitendo cha kupatikana amani kati yake na huyu aliekuwa bosi hata kama alivyohama angemtumia msg za salamu kama afanyavyo sasa ingemfurahisha na kupata amani aliyonayo, kufukuzwa kazi si matakwa ya Elli bali maelewano na huyu mama.
 
Nilisema kwenye ile post ya watangazaji kukimbilia Azam, si kila mfanyakazi anapoacha kazi mahali ni kwa sababu ya maslahi wengine wanaitafuta amani, kuna muda hata hiyo pesa ndefu huithamini kwa sababu ya msongo wa mawazo unaosababishwa na baadhi ya mabosi na kazi bila amani ni shida, unakosa hata raha na familia yako.
 
Back
Top Bottom