Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,201
- 99,939
- Thread starter
- #21
Mpwa wewe ndio umenielewa, naona kuna watu wanasema eti nimefurahi eti Boss wangu kufukuzwa kazi, asante kwa kunielewa kuwa sikuzote niliomba kuwa na AMANi na Boss wangu na sikuwahi kumuombea mabayaMaombi mazuri sana hayo, hata mimi niko namwomba Mungu nikifanya MAOMBI ya kusaka AMANI. nimekataa kufanya maombi ya kulipiza kisasi yaani maombi ya kuombeana mabaya.
Kama wabongo wengi walivyo. AMANI kwanza.