Mungu ana maajabu yake

Ni kweli mkuu. Kazi yake haipimiki


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mungu ana maajabu yake siku zote Mungu ni Mkuu!

Lakini mambo kama haya inabidi tuyaangalia kwa namna tofauti na uumbaji asilia wa Mungu, Kwani mengi ya matukio kama haya ni matokeo ya UHARIBIFU WA MAZINGIRA.

Uharibifu wa mazingira ni topic pana sana msikurupuke hapa!
 

Hahahahahahahah.......... kaka naona umeweka pingamizi mapema!
 
Wakati nikisoma habari za hawa mapacha inaaminika kuwa wana mfuko mmoja wa chakula yaani tumbo...

Halafu wana miguu miwili tu na kwa pamoja wana mikono minne, yaani kila pacha na mikono yake miwili...

Kuna jambo limenitatiza kidogo kuweza kulielewa nalo ni coordination yaani mfumo wa fahamu ukijumuisha na ubongo...

Hivi kama pacha mmoja ubongo wake unaielekeza miguu kuwa sasa ni wakati wa kwenda kule, lakini wakati huo huo pacha mwingine ubongo wake unaiambia miguu sasa ni wakati wa kukaa...hapa sijajua maamuzi yao huwa yanafikiwaje na vichwa viwili vinavyocontrol viungo vinavyokuwa shared.

Au inakuwaje pale mmoja anapojisikia njaa wakati mwingine ndio kwanza hajihisi kula, sasa yule mwenye njaa akila na kulijaza tumbo huyu mwenzake mwenye njaa atajihisi vipi?

:der:
 

Wanakuwa na central coordination system moja kwakuwa wanashare viungo vingi
 
Wanakuwa na central coordination system moja kwakuwa wanashare viungo vingi

Lakini angalia kila mtu ana kichwa chake na mgongo wake kitu kinacho-suggest kuwa wana ubongo na spinal cords tofauti.

Jaribu kufikiria kwa kina utaelewa mkuu kuwa kwenye coordination hawa watoto watakuwa na a very awkward case..
 
Lakini angalia kila mtu ana kichwa chake na mgongo wake kitu kinacho-suggest kuwa wana ubongo na spinal cords tofauti.

Jaribu kufikiria kwa kina utaelewa mkuu kuwa kwenye coordination hawa watoto watakuwa na a very awkward case..

Yeah lakini mishipa ya nervous system imeunganishwa na kuwa kitu kimoja ,kwahiyo mifumo yetu sisi na wao ni tofauti ,yaani ni sawa na gari lenye double diff na single diff
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…