Mungu Amekufa

Mungu Amekufa

Mungu ni wewe mungu nikila kitu kinacho ishi ndiyo maana anasema nipo Kila mahali nakutazama hata tukii acha biblia bado kuna mambo mengi yanatuambia mungu yupo

Hasta ukiangalia jinsi Dunia ilivyo umbwa kazi za jua na mwezi,msimu ya miaka na faida zake Kwa mazingila, vyote hivi vinatuambia yupo muumbaji designer ambaye ni mungu
Sasa kama kila kilichokizuri,na chaajabu nilazima kiwe na mtengenezaji, basi bila shaka yeye nayeye anahitaji muumbaji aliemuumba yeye
 
During the time of enlightenment, Frederick Nitzche said " God is dead " reason replaced faith.
God ist tott Africa, too, sababu zimekuwa nyingi kuliko matendo, and Christ will never rise from dead again I mean compassion humility redeemer salvation and truth, who prefers slave morality over master morality, who prefers truth over lie,

African enlightenment period is home, we modern men, when are we going to become gods,
 
Ukipita mtaani utasikia walokole wakitamba, yaani haya maisha bila Mungu sijui yangekuaje,

Haya madai ya kwamba mungu ndio anasimamia amani ya maisha ya huyu mnyama ni ya Nani, Amekufa Amekufa Amekufa

Nimlete kwenu, mwali mpya, mwali wa asili, mwali asiyejali kuhusu uongo na ukweli, mwali huyu kinachomtia kinyaa ni ujinga,

Mwali ni mpya, mwali anasomeka, sio Kama yule mwali wa ukoo wa daudi, huyu ametoka kwa baba kweli, uzao wake ndio unachipuka kutoka ubavu wake wa fahamu,

Bado hajazaa vichaa, wala mashetani,
Hana laana maana anatoka kwa baba mwenye njama, mwali ataishi milele na Jina lake litabarikiwa na vizazi vyote

Mwali hana makuu, sio mbaguzi, anapokea mapokeo yote, mwali ndio kwanza mbichi, huku kwetu ni wachache wanaweza kulipia mahari yake kwa sasa, na wengi waliofanikiwa kumlipia bado anawasumbua, niwakumbushe hapendi ujinga,

Kwa magharibi, mwali anatamba, kuna jamaa alikuwa Hana mwili lakini wazee walimpa mwali na akaheshimiwa na tutamheshimu milele, kwani jamaa alimzalisha mwali, pia huyu mwali sifa yake nyingine, hachagui jinsia kupenda, wala rangi ya mwili, anapenda yeyote, tajiri na masikini Kama wasemavyo waswahili,

Ntarudi kumpa sifa mwali mpya, maana yeye ndio mwali wa kweli, mwali kutoka kwa baba, aliyezaliwa Kama mwana, kwaajili ya wanadamu wote,

Mwali huyu sifa zake ni pamoja na kukomboa wanadamu kutoka kwenye dhambi ya asili, dhambi inayosumbua wanyama wote, ambao Mpaka wawe na macho ndio waone
Kwani alikuwa hai wakati ahitaji uhai?
 
Mungu yupo mkuu mungu anaishi ukitaka kuamini tembelea makabulini na mahospitalini
Ascetic priest anasoma theology na philosophy, na hakuna mnyama amewahi kutamba mbele ya philosophy, it's just a cobweb in your mind, nothing else, Gott ist tot
 
Back
Top Bottom