mgunda1990
Member
- Jul 19, 2012
- 73
- 4
Ulianza ufataki ukiwa na miaka 2, kwa kweli una kipaji
habar wandugu,kiukwel cjui niseme n bahat au ndo vle tena,nimesimuliwa kuwa wakati na umri wa miaka 2 na nusu nilihudhuria sherehe ya kufkisha siku 40 baada ya kuzaliwa bint Abubakar ambae leo n mke wangu wa ndoa,,,najckia aman na furaha saaana...
macho huona kile yanachotaka kuona!Mbona sijaona kitu hapa?
napenda jamani siku moja moja watu tunatuma post za aina hii sio kila siku mke wangu mchawi,mume wangu ana nyumba ndogo,namatamani housegirl,nataka kujiua sipendwwi,mke wangu hataki tutumie hela yake,mume wangu ana kibamia,mara boss wa mke wangu anamsololea mke wangu basi mradi matatizo tu kila siku!wengine wataogopa sasa kuoa/kuolewa au kuwa na mahusiano yaliyo imara!
macho huona kile yanachotaka kuona!
umenichekesha sana. Hapa natamani jogoo la jirani, ningelipikia pilau nile nikiwa na khanga moko na juisi ya ubuyu. Ngoja nikaanzishe thread uje unishauri kama nilisololee ama nilinyakue
hukumuelewa my dear!yani hapo anamaanisha mkewe alimuona enzi hizo mtoa mada akiwa na miaka 2 na mke wake ndio ilikuwa sherehe ya kumtoa 40 baada ya kuzaliwa!kwa ufafanuzi zaidi ni kwamba jamaa alihudhuria sherehe ya mkewe akiwa anatoka 40,enzi hizooo ye ana miaka mi2.umemsoma sasa?Hapana dear,nimeshindwa kumuelewa mtoa mada,amehusianishaje yeye kumuoa binti na kujumuika kwenye sherehe ya mkewe kutimiza siku 40 tena yeye akiwa na miaka mi 2!Labda wewe unaweza nielewesha kuna uhusiano gani hapo!
umenichekesha sana. Hapa natamani jogoo la jirani, ningelipikia pilau nile nikiwa na khanga moko na juisi ya ubuyu. Ngoja nikaanzishe thread uje unishauri kama nilisololee ama nilinyakue