Mungano wa UKAWA - Kazi Imeanza

Mungano wa UKAWA - Kazi Imeanza

Slaa ni mzee akagombee ubunge Karatu pilikapilika za Urais haziwezi, Lipumba agombee Urais,

Ninachojua umri si kigezo sana cha rais bora,hivo Dr Slaa na Mzee Mugabe nabi mkubwa?

Suala la mgombea Urais Ukawa wameshakaa wanajua nani atasimama!
Tumekuwa na Rais kijana lakini ataondoka bila kuwa na majisafi na salama Tanzania,labda kila mwenye uwezo achimbe yake
 
Ccm wana payuka ovyo marais wangapi wa Africa na nje ya Africa wanaumri mkubwa na wanaongoza vema sana Tumeshaona madhara yakumkabidhi nchi kijana
 
Kamanda umenena unajua wanahisi kuwa kwa kuwa 96%, ya wanaoenda nje ya nchi ni maccm yaliyojuu kivyeo na watoto wao,wanaamini kuwa watanzania wengi hawajui nani anaongoza nje ya nchi na umri wao
 
Kamanda umenena unajua wanahisi kuwa kwa kuwa 96%, ya wanaoenda nje ya nchi ni maccm yaliyojuu kivyeo na watoto wao,wanaamini kuwa watanzania wengi hawajui nani anaongoza nje ya nchi na umri wao

Ndio Maana Kauli mbiu yao ni ndio hatakama itarudi nakuwaumiza wao ni ndio tu
 
Ukawa uko wapi. Kuna Ukawa pipoz kama si undumila kuwili kama chagadema walivyo ni nini
 
UKAWA inajisambaratisha yenyewe kutokana na tamaa za madaraka walizonazo viongozi CHADEMA

Tumekupata Paul Makonda! Nackia wilaya ya kinondoni vjana wanatozwa sh21000 kujiunga na JKT?
 
Wauwau na wenzako endeleeni kuota ndoto za mchana pia buku 7 za Lumumba zinakutesa sana,fagia hata barabara utapata pesa , cdm na ukawa vinakutesa sana ,kawafunge viatu uenda na wewe ukapewa udc June
 
CHADEMA wana siasa za kilaghai kweli. Kwanza utambue kuwa CHADEMA hawapendi mgombea wa Urais atoke nje ya chama chao. Ndo maana wanajaribu kila mtug mwenye sifa kumtafutia nafasi mbadala. Lipumba wanataka agombee ubunge. Mbatia wamemtafutia jimbo la Vunjo na sasa Maalim wanataka awe mgombea mwenza.

Nchi hii inamchwa,huyu naye mshauri pale Lumumba,unawezaje kuja hapa kusemea Ukawa?
Vyama vile vinawasomi wanaoona zaidi yako,wataamua nani awe mgombea urais si wewe kuja jf kuwasemea!
 
UKAWA inajisambaratisha yenyewe kutokana na tamaa za madaraka walizonazo viongozi CHADEMA

Naona unafahamu shida inayokufanya usilale ni Chadema?, chadema imeunda mawaziri kivuli ikaweka wa vyama vyote vya Ukawa,unaposema ukawa imesambaratika ni hii niijuayo au UWT na UVccm?
 
chadema wana siasa za kilaghai kweli. Kwanza utambue kuwa chadema hawapendi mgombea wa urais atoke nje ya chama chao. Ndo maana wanajaribu kila mtu mwenye sifa kumtafutia nafasi mbadala. Lipumba wanataka agombee ubunge. Mbatia wamemtafutia jimbo la vunjo na sasa maalim wanataka awe mgombea mwenza.

ukuu wa wilaya ya kino umekushinda!
 
Naliona hili

Uanzishaji wa Act ndio kete ya mwisho ya ccm,maana ile ya kwanza ya ugaidi,mabomu,kuua watu,mara udini,ukabila na ukanda imeshindikana
Sasa baada ya mara uzinzi,mara ruzuku nayo ikagonga mwambs,
Kilibaki ni Kutumia Zitto kama kete ya mwisho hiyo!
 
CHADEMA wana siasa za kilaghai kweli. Kwanza utambue kuwa CHADEMA hawapendi mgombea wa Urais atoke nje ya chama chao. Ndo maana wanajaribu kila mtu mwenye sifa kumtafutia nafasi mbadala. Lipumba wanataka agombee ubunge. Mbatia wamemtafutia jimbo la Vunjo na sasa Maalim wanataka awe mgombea mwenza.

Gwajima kaja ofcn?
 
Back
Top Bottom