Mungano wa UKAWA - Kazi Imeanza

Mungano wa UKAWA - Kazi Imeanza

UKAWA inajisambaratisha yenyewe kutokana na tamaa za madaraka walizonazo viongozi CHADEMA

Naona CDM ni mwiba mchungu kwa magamba, kila gamba akisikia neno CDM anajiharishia
 
Chabruma alikosa u DC, inaonekana hakuchangia sana kwenye Jf, ngoja aendelee na propaganda zake lkn Ukawa ni mpango wa Mungu.
 
Ukawa itavurugwa na chadema waroho wa madaraka,kama kweli ukawa ina hoja mpeni basi NLD majimbo ya mbeya,Arusha,Mwanza tuone kama Bavicha watakaa kimya

unayajua makubaliano na vigezo na mashariti vya chama kupewa ridhaa ya ukawa kuweka mgombea ktk jumbo? mbona maccm mkisikia ukawa mnawashwa?
 
Ukawa Mungu Yupo Pamoja Nasi Tukaze Boot! Ukawa Naomba Njooni Chalinze Tumewamic Sana Maana Hapa Wananchi Hatuelewi Kinachoendelea.Maji Hatupati Ingawa Tumezungukwa Na Mito Miwili Ruvu Na Wami Ukiuwauliza Wahusika Hawaeleweki! Pia Hospital V2ko Vitupu,hakuna Huduma Za Maabara Wkend,hakuna Dawa,lugha Chafu Wahudum Yaani Vurugu Tupu! Ebu Njooni Tuchukue Jimbo Hili Maana Mtu Na Mtoto Wake Limewashinda Hakuna Waliciorekebisha Zaidi Kupiga Hela Za Wananchi Kwa Kubadilisha Stayle Za Kuiba.Ukawaaaaa Juuu!
 
ok Ngoja niunge mkono hoja. Tupigie kura Ukawa lakini Raisi asimame Prof Lipumba na padri mstaafu awe makamu, utaona mapovu yanavyowatoka. nyinyi mnafikiri sisi ni madaraja ya kuufikia huo mpango wenu. Ila mna akili sana aisee mlifikiri mtaweza bila ya sisi mlipoona haiwezakani mkajipendekeza kwenye ukawa ili mpate access za kutulaghai aisee. siku ile si ndio wewe ulijifnya kumponda prof kwamba mdini, leo unaungana nae haya niambie kaacha lini ule udini mpaka ujifanye kuungana nae, na ile CCM B ndio iwe mgombea mweza aiseee mnachekesha sana CDM imeungana na CCM B. Wanafiki thana nyinyiiiiiii. UKAWA haifiki mbali kwa unafiki ZZK ameona hapo akahepa. HAPA NI MASLAH TUUUUU.
 
Mkuu tunakuja hatutaacha kijiji kitongoji kata, jimbo wala Urais vyo tunavitaji tumuondoe mkoloni mweusi
 
ok Ngoja niunge mkono hoja. Tupigie kura Ukawa lakini Raisi asimame Prof Lipumba na padri mstaafu awe makamu, utaona mapovu yanavyowatoka. nyinyi mnafikiri sisi ni madaraja ya kuufikia huo mpango wenu. Ila mna akili sana aisee mlifikiri mtaweza bila ya sisi mlipoona haiwezakani mkajipendekeza kwenye ukawa ili mpate access za kutulaghai aisee. siku ile si ndio wewe ulijifnya kumponda prof kwamba mdini, leo unaungana nae haya niambie kaacha lini ule udini mpaka ujifanye kuungana nae, na ile CCM B ndio iwe mgombea mweza aiseee mnachekesha sana CDM imeungana na CCM B. Wanafiki thana nyinyiiiiiii. UKAWA haifiki mbali kwa unafiki ZZK ameona hapo akahepa. HAPA NI MASLAH TUUUUU.

Endeleni kupiga hizo propaganda zilizochacha kama vile viporo mnavyoviwekaga huku hatuna udini wala ukabila ukawa tuna taka kumuondoa mkoloni mweusi.. jitafakarini huyo agent wenu kwanini ameshindwa na Nguvu ya Mungu
 
Baada ya kugundua niliyoyagundua CDM nimehama ukawa na natangaza kura ya maslahi............mpaka tutaelewana.
ukitaka kujua wafuasi wa ukawa ni kina nani angalia comment zao. utawasikia chaguo la mungu, au utawasikia wakipinga mahakama ya kadhi, au utawasikia wakimtukana Allah, au utawasikia wakimpendekeza padre nafasi ya urais au utawasikia wakiwasifu polisi kwa kuwapiga waislamu na wakiwalaumu kwa kumkamata gwajima, au utawasikia wakiiponda ccm kwakua na rais muislam na wakiisifia ccm wakimsikia Lowasa. kwao wao ukawa ni pazia tu la kujificha lakini tunawaambia mmejificha kwenye matembele, tumeshawaona hapo... KURA YA MASLAHI NDIO MPANGO MZIMA MPAKA TUTAHESHIMIANA.

Hivi umewahi kuitafari chadema vizuri?, hivi akina Mtoi,Ali bananga Arusha,Profesa safari,Lissu,Kimomogoro,Sugu,Silinde,wenje,madiwani walioko Rukwa,kigoma,Ukerewe,Patrobasi m/ kiti Bavicha,Kunti(bawacha), Mnyika,kasulumbayi,Shibuda,Kiwia Hyness, madiwani walioko Iringa,Msigwa,wenyeviti walioko kilosa vijijini Ifakara,Singida mashariki na zmagharibi,Dofoma,Babati,Mbeya na mbinga wote hawa ni wachaga?

Chadema ya leo mtaipiga mawe kwa udini,na ukabila lakini mjue haitatetereka,
Mulisema chadema bila cuf ilikuwa inakufa, kuna shida gani hata kama ingekuwa hivyo?, kwa kuwa ni washirika wetu tunawapenda Ukawa tumaini leru
 
Wewe ni mpenzi wa mpira? Unaonaje yule mchezaji nyota anavyokabagwa ndani na nje ya uwanja?

Kama vile team kali zinavyoogopwa, na wachezajiwa wao nyota kuwindwa na timu pinzani, ama wanunuliwe, ama wahadaiwe, ama waumizwe, ama wapotezwe ili mradi siku ya mechi wasiingie uwanjani; au hata wakiingia wakabwe na kundi na ikwezekana wasikae hadi mwisho; hii ya Chabruma, inaonyesha ni namna gani ccm inaheshimu na kukikubali UKAWA na hivyo kutambua nguvu ya chadema kwenye umoja huo.

Kama vile wachezaji wanavyolindwa na kujilinda, sasa ni wakati wa kuvilinda vyama vyetu vya ukawa, na CHADEMA , kwa gharama yoyote.

UKAWA, endeleeni kujipanga, andaeni sera sahihi na mikakati safi; zinazogusa na kumkomba mtz katika majuto na machozi aliyolizwa na ccm kwa miaka mingi. Nchi tumewapeni.

Jipangeni sawa sawa, wananchi hawakoo nyuma yenu bali wako pamoja na ninyi.

Viongozi wa ukawa mkae macho dhidi ya hujuma zozote ambazo kwa sasa inaonekana adui yuko katika kutapatapa akikata roho asije akaondoka na yeyote miongoni mwenu.

Tunawaombea, Mungu awape neema ya uzima, mvishwe hekima n amaarifa, mpate kiabali pando zote, na zaidi ya yote, Mungu afungue njia za ajabu zitakazowafanniksha. Tunajua mafanikio yenu ni mafanikio yetu.

Mungu awatunze na kuwalinda.

Huyo mtu amejadili habari za UKAWA, wewe unaingiza habari za CHADEMA. UKAWA ni ushirika wa vyama vinne, kwa hiyo wewe unaitaja CHADEMA tu kulikoni? Na kama madai yako ni sahihi, si ndio ufurahi kwamba CHADEMA wanalazimisha mambo ili ushirika wao uvurugike na hiyo itakuwa ahueni kwa chama chako cha MAFISADI?
 
ok Ngoja niunge mkono hoja. Tupigie kura Ukawa lakini Raisi asimame Prof Lipumba na padri mstaafu awe makamu, utaona mapovu yanavyowatoka. nyinyi mnafikiri sisi ni madaraja ya kuufikia huo mpango wenu. Ila mna akili sana aisee mlifikiri mtaweza bila ya sisi mlipoona haiwezakani mkajipendekeza kwenye ukawa ili mpate access za kutulaghai aisee. siku ile si ndio wewe ulijifnya kumponda prof kwamba mdini, leo unaungana nae haya niambie kaacha lini ule udini mpaka ujifanye kuungana nae, na ile CCM B ndio iwe mgombea mweza aiseee mnachekesha sana CDM imeungana na CCM B. Wanafiki thana nyinyiiiiiii. UKAWA haifiki mbali kwa unafiki ZZK ameona hapo akahepa. HAPA NI MASLAH TUUUUU.

Propaganda za kipuuzi tu hizi. Jadilini mambo yenu huko ya MAFISADI. Mambo ya UKAWA yanawahusu nini? Je huo ushirikiano wao ukivunjika si ndio nafuu kwenu? Sasa kwa nini mnaweweseka namna hiyo? Kila kukicha propaganda, propaganda tu za mfa maji. Pilipili usiyoila yakuwashiani? Acheni propaganda hizi za kipuuzi
 
Wewe povu lote hili kwa maslahi ya CHADEMA au ya nani? Kwa nini usifurahie kwamba sasa UKAWA umekufa? Ukawa ukifa wewe unachukia nini?

Mwaka huu, lazima mseme yote!.

ok Ngoja niunge mkono hoja. Tupigie kura Ukawa lakini Raisi asimame Prof Lipumba na padri mstaafu awe makamu, utaona mapovu yanavyowatoka. nyinyi mnafikiri sisi ni madaraja ya kuufikia huo mpango wenu. Ila mna akili sana aisee mlifikiri mtaweza bila ya sisi mlipoona haiwezakani mkajipendekeza kwenye ukawa ili mpate access za kutulaghai aisee. siku ile si ndio wewe ulijifnya kumponda prof kwamba mdini, leo unaungana nae haya niambie kaacha lini ule udini mpaka ujifanye kuungana nae, na ile CCM B ndio iwe mgombea mweza aiseee mnachekesha sana CDM imeungana na CCM B. Wanafiki thana nyinyiiiiiii. UKAWA haifiki mbali kwa unafiki ZZK ameona hapo akahepa. HAPA NI MASLAH TUUUUU.
 
Tutasimama na ukawa,hatukuja kugawana vyeo,na chadema haijasema fulani atagombea,cuf,nccr mageuzi na mwenzao vilevile Ukawa kazi imeanza,watalipwa fedha za supu na mafuta lakini sisi tusonge mbele
 
Ukawa itavurugwa na chadema waroho wa madaraka,kama kweli ukawa ina hoja mpeni basi NLD majimbo ya mbeya,Arusha,Mwanza tuone kama Bavicha watakaa kimya

Madaktari wa milembe mje mtaani huku mpime watu akili msingoje kuletewa huko.
 
Wewe povu lote hili kwa maslahi ya CHADEMA au ya nani? Kwa nini usifurahie kwamba sasa UKAWA umekufa? Ukawa ukifa wewe unachukia nini?

Mwaka huu, lazima mseme yote!.
Ninachoweza kuwambia ccm wajiandae kuwa wapinzani Tanzania
 
Baada ya kugundua niliyoyagundua CDM nimehama ukawa na natangaza kura ya maslahi............mpaka tutaelewana.
ukitaka kujua wafuasi wa ukawa ni kina nani angalia comment zao. utawasikia chaguo la mungu, au utawasikia wakipinga mahakama ya kadhi, au utawasikia wakimtukana Allah, au utawasikia wakimpendekeza padre nafasi ya urais au utawasikia wakiwasifu polisi kwa kuwapiga waislamu na wakiwalaumu kwa kumkamata gwajima, au utawasikia wakiiponda ccm kwakua na rais muislam na wakiisifia ccm wakimsikia Lowasa. kwao wao ukawa ni pazia tu la kujificha lakini tunawaambia mmejificha kwenye matembele, tumeshawaona hapo... KURA YA MASLAHI NDIO MPANGO MZIMA MPAKA TUTAHESHIMIANA.

Endelea kuota mchana ikifika wakati wa kulala sisi tutakuamsha.
 
Muungano wa UKAWA kazi imeanza,

Leo viongozi wa vyama vya Nccr mageuzi,Chadema,Cuf na NLD kazi imeanza.

Si jf,magazeti,Redio na wakaa vijiweni kazi wameanza.

Wanawakala wao,wamelipwa,kuanzishs kila aina ya hoja kuwafarakanisha.

Kuibua kila aina ya siasa mfilisi,tunajua ukawa tunahitaji kujenga Taifa si vyama wala mtu,na ndio maana mliamua kuungana na kuweka maslahi ya vyama vyenu nyuma.

Wananchi wa Tanzania,wapo watakaopewa pesa kupambana nanyi kwa kila hila ili kuchelewesha uhuru wa kifkra na maendeleo endelevu.

Leo tunaweza sema maneno haya" Tanzania umefika wakati tulioutarajia,wa kupoteza marafiki zetu na kuongeza wapya,kuongeza maadui au kupunguza, kuitwa kila aina ya jina,kutokana na kuwa na msimamo thabiti,kusimamia falsafa,maslahi ya watu wengi,na kusahau ubinafsi,wanaopenda vyeo,ubinafsi hamtakaa nao meza moja.Huu mwanzo una mwisho,mmechagua njia iliyojaa miiba,mabonde na milima,kila aina ya hila njiani,ila ina mwisho mzuri.

Asiyekuwa upande wenu lazima awe adui yenu,anayejitenga na wengi mara nyingi hufuata matakwa yake mwenyewe.

Hakuna njia ni bora kuamua,Mandela alipokuwa akidai haki,umoja na uhuru Afrika kusini alisema "....No easy road to freedom"

Haki mnazozidai watanzania wasitegemee serikali itakuja kujiadhibu yenyewe,inajua watanzania bado hawajui haki zao,siku wakijua nao watabadili mbinu,ni muda wa kubeba changamoto ndani ya Ukawa, kusimama na kusonga mbele,wasaliti waendelee kwani hawa si wa kwanza katika kupigania haki,muwatazame kwa jicho makini.

mgombea urais wa Ukawa ni nani?
 
Tutasimama na ukawa,hatukuja kugawana vyeo,na chadema haijasema fulani atagombea,cuf,nccr mageuzi na mwenzao vilevile Ukawa kazi imeanza,watalipwa fedha za supu na mafuta lakini sisi tusonge mbele

Slaa ni mzee akagombee ubunge Karatu pilikapilika za Urais haziwezi, Lipumba agombee Urais,
 
UKAWA inajisambaratisha yenyewe kutokana na tamaa za madaraka walizonazo viongozi CHADEMA
Mkuu DC mtu anapoanzisha chama cha siasa au kujiunga na chama cha siasa nia yake kubwa ni kukamata madaraka, Kwa hiyo si mroho wa madaraka ila ndiyo nia ya mwanasiasa kujiunga na siasa. Mtu anahesabiwa mroho wa madaraka anapokuwa hataki kuachia madaraka kwa hali na mali kama wafanyavyo CCM na kama ulivyofanya wewe kumpoga Warioba ili upate UDC. Huo ndio uroho wa madaraka
.
 
Back
Top Bottom