nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Yeyote anayebeza ukawa ni adui wa mabadiliko.
Ukawa itavurugwa na chadema waroho wa madaraka,kama kweli ukawa ina hoja mpeni basi NLD majimbo ya mbeya,Arusha,Mwanza tuone kama Bavicha watakaa kimya
CHADEMA wana siasa za kilaghai kweli. Kwanza utambue kuwa CHADEMA hawapendi mgombea wa Urais atoke nje ya chama chao. Ndo maana wanajaribu kila mtu mwenye sifa kumtafutia nafasi mbadala. Lipumba wanataka agombee ubunge. Mbatia wamemtafutia jimbo la Vunjo na sasa Maalim wanataka awe mgombea mwenza.
Icho ni kikao ulichofanya wewe au CHADEMA
Ukawa itavurugwa na chadema waroho wa madaraka,kama kweli ukawa ina hoja mpeni basi NLD majimbo ya mbeya,Arusha,Mwanza tuone kama Bavicha watakaa kimya
Tunataka kukupa wewe au unaonajee
CHADEMA wana siasa za kilaghai kweli. Kwanza utambue kuwa CHADEMA hawapendi mgombea wa Urais atoke nje ya chama chao. Ndo maana wanajaribu kila mtu mwenye sifa kumtafutia nafasi mbadala. Lipumba wanataka agombee ubunge. Mbatia wamemtafutia jimbo la Vunjo na sasa Maalim wanataka awe mgombea mwenza.
Ukawa nimpango wa mungu
Sijaelewa hoja
UKAWA inajisambaratisha yenyewe kutokana na tamaa za madaraka walizonazo viongozi CHADEMA
Chadema ingekuwa na tamaa ya madaraka isingeteua mawaziri vivuli kutoka vyama vingine,na hata kama Cheyo,na Mrema angekubali angepewa.
Acha kupotosha watu Ukawa hatugawani majimbo kwamisingi ya dini wala kabila.. hayo maubiri yakijinga yako ccmBaada ya kugundua niliyoyagundua CDM nimehama ukawa na natangaza kura ya maslahi............mpaka tutaelewana.
ukitaka kujua wafuasi wa ukawa ni kina nani angalia comment zao. utawasikia chaguo la mungu, au utawasikia wakipinga mahakama ya kadhi, au utawasikia wakimtukana Allah, au utawasikia wakimpendekeza padre nafasi ya urais au utawasikia wakiwasifu polisi kwa kuwapiga waislamu na wakiwalaumu kwa kumkamata gwajima, au utawasikia wakiiponda ccm kwakua na rais muislam na wakiisifia ccm wakimsikia Lowasa. kwao wao ukawa ni pazia tu la kujificha lakini tunawaambia mmejificha kwenye matembele, tumeshawaona hapo... KURA YA MASLAHI NDIO MPANGO MZIMA MPAKA TUTAHESHIMIANA.
CHADEMA wana siasa za kilaghai kweli. Kwanza utambue kuwa CHADEMA hawapendi mgombea wa Urais atoke nje ya chama chao. Ndo maana wanajaribu kila mtu mwenye sifa kumtafutia nafasi mbadala. Lipumba wanataka agombee ubunge. Mbatia wamemtafutia jimbo la Vunjo na sasa Maalim wanataka awe mgombea mwenza.
Mkuu, hapo umefikiri hadi kamasi zinakutoka.Baada ya kugundua niliyoyagundua CDM nimehama ukawa na natangaza kura ya maslahi............mpaka tutaelewana.
ukitaka kujua wafuasi wa ukawa ni kina nani angalia comment zao. utawasikia chaguo la mungu, au utawasikia wakipinga mahakama ya kadhi, au utawasikia wakimtukana Allah, au utawasikia wakimpendekeza padre nafasi ya urais au utawasikia wakiwasifu polisi kwa kuwapiga waislamu na wakiwalaumu kwa kumkamata gwajima, au utawasikia wakiiponda ccm kwakua na rais muislam na wakiisifia ccm wakimsikia Lowasa. kwao wao ukawa ni pazia tu la kujificha lakini tunawaambia mmejificha kwenye matembele, tumeshawaona hapo... KURA YA MASLAHI NDIO MPANGO MZIMA MPAKA TUTAHESHIMIANA.
Huna hoja kajipange uje uanze tena nina hakika babu yako pale kijijini japo leo ni sikukuuu sanasana.kanywa uji wa limao mwaka wa 53 huu chini ya ccm .
Heheheeehe ACT buana!Ukawa itavurugwa na chadema waroho wa madaraka,kama kweli ukawa ina hoja mpeni basi NLD majimbo ya mbeya,Arusha,Mwanza tuone kama Bavicha watakaa kimya