Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Muungano wa UKAWA kazi imeanza,
Leo viongozi wa vyama vya Nccr mageuzi,Chadema,Cuf na NLD kazi imeanza.
Si jf,magazeti,Redio na wakaa vijiweni kazi wameanza.
Wanawakala wao,wamelipwa,kuanzishs kila aina ya hoja kuwafarakanisha.
Kuibua kila aina ya siasa mfilisi,tunajua ukawa tunahitaji kujenga Taifa si vyama wala mtu,na ndio maana mliamua kuungana na kuweka maslahi ya vyama vyenu nyuma.
Wananchi wa Tanzania,wapo watakaopewa pesa kupambana nanyi kwa kila hila ili kuchelewesha uhuru wa kifkra na maendeleo endelevu.
Leo tunaweza sema maneno haya" Tanzania umefika wakati tulioutarajia,wa kupoteza marafiki zetu na kuongeza wapya,kuongeza maadui au kupunguza, kuitwa kila aina ya jina,kutokana na kuwa na msimamo thabiti,kusimamia falsafa,maslahi ya watu wengi,na kusahau ubinafsi,wanaopenda vyeo,ubinafsi hamtakaa nao meza moja.Huu mwanzo una mwisho,mmechagua njia iliyojaa miiba,mabonde na milima,kila aina ya hila njiani,ila ina mwisho mzuri.
Asiyekuwa upande wenu lazima awe adui yenu,anayejitenga na wengi mara nyingi hufuata matakwa yake mwenyewe.
Hakuna njia ni bora kuamua,Mandela alipokuwa akidai haki,umoja na uhuru Afrika kusini alisema "....No easy road to freedom"
Haki mnazozidai watanzania wasitegemee serikali itakuja kujiadhibu yenyewe,inajua watanzania bado hawajui haki zao,siku wakijua nao watabadili mbinu,ni muda wa kubeba changamoto ndani ya Ukawa, kusimama na kusonga mbele,wasaliti waendelee kwani hawa si wa kwanza katika kupigania haki,muwatazame kwa jicho makini.