onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,117
Ila kuna interview yake moja ukimsikiliza vzur naona jamaa yuko ki pesa zaid ni mzima kabisa sio shoga maana alisema wanawake anatembea naoNdo katoka kutengeneza madai... ila mi Naona ni editing tu
Iweke hapa hiyo interview japokua kutembea na wanawake sio ajabu si shoga zake jamani, lolIla kuna interview yake moja ukimsikiliza vzur naona jamaa yuko ki pesa zaid ni mzima kabisa sio shoga maana alisema wanawake anatembea nao
In short ni choko tu.Iweke hapa hiyo interview japokua kutembea na wanawake sio ajabu si shoga zake jamani, lol
Lakini pia kwa faida ya wengine, BobRisky sio Gay ni TransWoman,
Kwenye LGBTQ+ ile T inasimama badala ya TransGender kwa maana kuna TransMan na TransWoman,
Engineer soooooooooooma hiyoooooooo,
😀
Kitumbua wakati ni mwanaume mwenzakokitumbua kimemvimba
Shoga tajiri wa Nigeria.Huyo Bobrisky ndiyo nani?
picha imekula editing za kutosha ila kibamia kilee kimebaniwa kwa nyuma
Iweke hapa hiyo interview japokua kutembea na wanawake sio ajabu si shoga zake jamani, lol
Lakini pia kwa faida ya wengine, BobRisky sio Gay ni TransWoman,
Kwenye LGBTQ+ ile T inasimama badala ya TransGender kwa maana kuna TransMan na TransWoman,
Engineer soooooooooooma hiyoooooooo,
Ni Gay, type ya trans.......Ila kuna interview yake moja ukimsikiliza vzur naona jamaa yuko ki pesa zaid ni mzima kabisa sio shoga maana alisema wanawake anatembea nao
Hivi ni kwamba transgender wanabadilishwa jinsia kabisa? Yaani huyo hapo amewekewa uchi wa kike na anagegedwa vzr tu na kusikia raha Kama mwanamke wa kawaida?Iweke hapa hiyo interview japokua kutembea na wanawake sio ajabu si shoga zake jamani, lol
Lakini pia kwa faida ya wengine, BobRisky sio Gay ni TransWoman,
Kwenye LGBTQ+ ile T inasimama badala ya TransGender kwa maana kuna TransMan na TransWoman,
Engineer soooooooooooma hiyoooooooo,
😀
Mbona km imevimba jamani!! au macho yangu mnisaidieMmh huyu shoga kidawa c mlokole Jaman , imekuaje tena , ila ninachompendea Muna linajua kujipendekeza kwa watu wa maana, ila atengeneze tu pesa, hayo mambo ya ushoga wa bobrisky hayamuhusuView attachment 1846087
Jichanganyekitumbua kimemvimba
Hapana babe, sio kila Transgender amefanya surgery ya kubadili umbile lake japo yes wapo wanaobadili kama mwanaume kwenda mwanamke na mwanamke kwenda mwanaume na wapo wanaobaki hivyo hivyo lakini wanapenda kua identify kwa vile wanavyojiona wao,Hivi ni kwamba transgender wanabadilishwa jinsia kabisa? Yaani huyo hapo amewekewa uchi wa kike na anagegedwa vzr tu na kusikia raha Kama mwanamke wa kawaida?
Ooh sawa kipenzi, Asante kwa Elimu.Hapana babe, sio kila Transgender amefanya surgery ya kubadili umbile lake japo yes wapo wanaobadili kama mwanaume kwenda mwanamke na mwanamke kwenda mwanaume na wapo wanaobaki hivyo hivyo lakini wanapenda kua identify kwa vile wanavyojiona wao,
Gender identity inamsaidia mtu kujijua yeye ni nani haihusiani na Sexual orientation,
Mfano wa kwanza, mimi ukiniangalia unaniona ni mwanamke lakini mimi binafsi sijioni kwenye uanamke bali najiona ni mwanaume kwenye umbo la mwanamke kwa maana hiyo nitapendelea kua identify as HE not SHE (hii tunaita Gender Identity)
Mfano wa Pili, Mimi ni Mwanamke lakini ninavutiwa na Wanawake wenzangu napendelea niitwe Lesbian (hii tunaita ni Sexual orientation)
Kuhusu kuhisi raha najua lazima watahisi raha tu 😂
Mbona kama kuna kitu kimetuna kwa mbelekitumbua kimemvimba
Mashine hiyo, hamna k hapo....Mbona kama kuna kitu kimetuna kwa mbele