"mummy,daddy wapi?".hili ni swali nimekuwa nikiulizwa na mwanangu wa miaka mitatu for the past two weeks. namdangayadanganya daddy atakuja au daddy kasafiri ila najisikia vibaya sana.
kwa wale wamama wenye uzoefu wa kuishi single nijuzeni mlivyocope na haya maswali mana nahisi anavyozidi kukua ndo anavyozidi kuuliza, na kumtaja baba wake akiwa anacheza na rafiki zake.
Hatukuweza kuwa pamoja na baba yake ingawaje tupo jiji moja lakini amesusa kumuona mwanae na kumuhudumia pia akisema kuwa me na mtoto we come as a package so if he can not be with the mum he can also not be involved with the child.
Nawasilisha
nanusa harufu mbaya ya usaliti nakusingiziwa mtoto ......... Kaunga soma hiyo statement ya noella hapo juu
dada noella,kwanza pole sana. Binafsi niliupita huu uzi nikiwa najionea uvivu kusoma baada ya kuja kutulia na kuusoma real nimejikuta naumia sana moyoni mwangu.
pia nikupe pole zaid kwa maneno ambayo Bazazi amekutolea i know him and at least Kaunga kaunsaidia kusema kweli juu yake. usikwazke kwa kauaali zake na ukimzoea utaona ponits kwenye maneno yake yenye tone mbaya.
sina experience as a single parent ila ninayo experience ya kushauri watu wa aina hii.
jambo la kwanza jua unahitaj nn kwenye maisha yako, iwe i furaha, amani, upendo nk. kisah ujue kwamba hakuna mtu yeyote yule anayeweza kukupa hivi ila wewe mwenyewe. you are the person to choose your own destiny.
kama ulishajaribu kuwa na mwenza yakakushinda kwani hukuona hiyo furaha, na ukaamua kutoka kuvipata basi uliamua kwa busara pia manake ni wazi ulijua nn hatima ya kila jambo litakalokujia.
kama ndivo baasi naamin ulishajua utamleaje mwanao ila pia naskitika sana hukujua ukiulizwa swali kama hili utamjibuje mwanao. kwasasa kufikiria juu ya jibu lake bado hujachelewa kwani mtoto bado ni mdogo na ataelewa taratibu.
jambo moja ama mawili ya kufanya ni hivi, mwambie mwanao ukweli kwamba mwanangu wewe ni mdogo sana na baba yako yuko mbali ipo siku atarudi utamuona. nakwambia mwambie hivi kwani sipendi umwonyeshe sura mbaya ya baba yake kwenye umri wa utoto na kama ulivyosema huwa unatoka na kurudi basi isije siku ukarudi mtt akasea mbona ulimwongopea. nasema mwambie yuko mbali hii itakupa wewe grace perod kama akija kubadilika na kua mtu mwema na wewe ukaona unahitaj kurudi basi utakuwa hukumkwaza mtt.
pia usimwambie kafariki hapana siku akigundua yuko hai utakuwa ni ugomvi na chuki kwako.
jambo la pili ni hili hakikisha mwanao hakosi mahtaj yake muhimu kiasi cha kumkumbuka baba yake. try your level best kumtimizia basic needs lkn pia mwuishishe maisha ya kujitambua na kujitegemea since alivyo mdogo hivi.usimwache peke yake ila mfundishe kujitambua kama binadamu na aone kwamba anaweza kuish mwenyewe. ukianza hii training akiwa mdogo ni nzuri zaid kani akikua atakuwa mtu anayejitambua kwa kiasi kikubwa sana.
otherwise sali kuomba faraja ya Mungu, na uombe sana Mungu akutane na mwanao na kumpa faraja yaani amfanye ajitambue na kusahau kabisa.kuna siku nilisali sala ambayo ni mbaya lkn ilinitoa niliomba Mungu ashike ufaham wa mtu na amfunge kinywa he was my boss and God did the same na hadi nilipita kwenye ile shida na mpaka leo ananiheshimu so hebu pia mwombe mungu ashike ufaham wa mwanao na amsahaulishe juu ya baba yake.
.......... Inatia huruma sana na kusikitisha jinsi baadhi ya akina mama wanavyowaficha watoto wao wazazi hasa wanaofichwa sana ni akina baba.... utashangaa mama pekee yake hawezi kufanya malezi mazuri kwa mwanae ...hata kama atajitahidi ni asilimia chache sana ya watoto waliofichwa hasa baba wakawa katka makuzi mazuri.... binafsi kumficha mtoto baba yake ni kumnyima uhuru.... pia inammuumiza sana ki-saikologia , anakosa vitu vingi sana... anakuwa kama yatima wakati mzazi yupo... nakushauri jishushe kwa jamaa... ili mtoto ajisikie vema hapa duniani kama watoto wenzake wanavyojisikia .... huwa najisikia vibaya sana kwa akina mama wanaolazimisha uyatima kwa watoto wao na kuwanyima uhuru...
mimi ninafanya kila niwezalo kumconvince baba yake awe karibu na mtoto ila ndo hivyo hataki.sometimes hata akimuulizia napiga simu afu nampa aongee baba yake akisikia sauti ya mtoto anasema "nenda zako sitaki kukusikia"..najitahidi kwa kweli
noella ulianza vizuri sana lakini umeharibu mwishoni qa kujaribu kupambana na nami; Huwezi.okaay, Bazazi, ngoja nikujibu hivi
.afu unasema mimi mpumbavu?
wew kama huna au huoni sababu ya kunishauri ni afadhali ukae kimya kuliko kunitolea maneno yanayozidi kuniumiza. kwaheri
noella ulianza vizuri sana lakini umeharibu mwishoni qa kujaribu kupambana na nami; Huwezi.
Hoja ulizotoa sasa ndizo ambazo zitakuwa na msaada mkubwa qako qani watu watakusauri ipasavyo bila kuwa na wasiwasi (wasingekusauri umwambie baba amekufa)
Mod tafadhali hii ufafanuzi wa nyongeza uweke katika thread yake noella ili aone busara za watu wakiwemo Bazazi, Mwanamalundi nk.
Let come to the pointHukuwa na mwanaume bali mvulana; lilikuwa kosa la qanza.
Ukakubali kuzaa naye ilhali ulianza kuona tabia za kibaradhuli; lilikuwa kosa la pili.Qa kuwa una mtoto naye anamuhitaji baba yake; mweleze uongo mtakatifu;
BABa yako amesafiri safari ya mbali na hatarudi hivi karibuni
Usimuingize mtoto katika matatizo yenu (unamuua kihisia qa hasara yako binafsi).
Usijaribu kumlazimia baba kuongea na mtoto ilhali hataki.Kama umesafanza hayo semaUambie "plan B"
Bazazi!
nanusa harufu mbaya ya usaliti nakusingiziwa mtoto ......... Kaunga soma hiyo statement ya noella hapo juu
:smiling: lol imebidi nicheke tu. you are unbelievable.
Angalau sasa ninakusoma. nimeshafanya Plan A kwa sasa.nasubiri Plan B :smiling:
Kwa kweli hapa inaonekana Noella ndio mwenye makosa..ndio maana mwanaume hataki kukusikia kwa hasira ila kwa jinsi ninavyowajua wanaume kama yeye mwanaume ndio angekua na kosa anagejiludi na kuongea na wewe na mtoto vizuri,kama ulivyosema kua alikili mrudiane muwe pamoja kwa sababu ya utoto mara wewe haumtaki mara yeye hakutaki..mhhh !
Haya ndio yana m cost baba wa michael essien mchezaji mpira wa real madrid ,sasa hivi anasota hapo ghana wakati mwanawe ana hela na anamtumza mama yake tu,kisa alimkimbia michael wakati yupo mdogo na sasa michael ni mtu mwenye umaarufu ghana yote duniani na analipwa hela ndefu tu kwa week.ombi kwa akina baba tuwatunze watoto wetu na wazazi wenzetu ili nao watoto waje watutunze tunapokuwa wazee
kisheria mtoto anayohaki ya kuwajuwa wazazi wake! akikushitaki utafungwa kumnyima haki yake ya msingi ya kumjua baba yake! hata kama mmeachana nenda kamuoneshe babake kwamba babako ndo huyo hujui kesho na keshokutwa utakuwa wapi ukifa leo mtoto atabaki na nani?