dagaa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 290
- 382
- Thread starter
- #21
Asaante sana kwa ushauri wako, mimi ni mpenzi sana wa kupenda kubadili chumba, kama kitanda cha sasa kina kama miaka miwili sasa na mwonekano wa chumba uwa napenda kubadili badili kuanzia mashuka na mengineyo, na kwa kusafiri tunasafiri sana, wikendi nyingi tunamalizia bagamoyo, zanzibar, mikoani, ratiba yetu ni kuwa kila wikend 2 kila mwezi tunalala nje ya nyumbaniHilo ni tatizo linalowakuta wanandoa wengi hasa baada ya kuzaa na majukumu ya maisha kuwa mengi,kikubwa cha kufanya ni kujua tatizo la mumeo ni nini kwa kuangalia yale aliyokuwa akiyafanya zamani na yale ya sasa,angalia kipi kimepungua,tukisema uanze kujichunguza tutakuwa hatukutendei haki maana si rahisi wewe kujua tatizo lako na badala yake mwenza wako ndiye mwenye nafasi ya kujua tatizo lako ni nini.
Kaa na mumeo zungumza nae kwa kina na huna haja ya kumficha tatizo ulilonalo na utaona kuwa baada ya muda mambo yanabadilika,nina swali,kitanda mlichokuwa mkitumia ndicho mnachotumia mpaka leo toka mmeanza mapenzi yenu?Uelekeo ni uleule,chumba ni kile kile?Huwa mna tabia ya kubadilisha mazingira kwa kwenda safari pamoja na kulala tofauti na nyumbani kwenu?
Kutokana na maswali haya naweza kukushauri vizuri zaidi ukiweza kunijibu.