Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
Pole sana mdada.
Nadhani inabidi utambue na ukubali kuwa maisha jinsi mnavoishi hayawezi kuwa 100% kama yalivyokuwa mlipooana tu. Yana changamoto nyingi na mojawapo ndio hiyo....nimesikitishwa na hiyo hali ila kama walivosema Kaunga na co hebu jitazame mwenyewe:
Kufika kwako kileleni sio suala la kuwa safi tu na kutimizia majukumu yako..ni zaidi ya hayo..ni hisia zaidi...nikikusoma.napata picha kuwa hisia zako kwa mumeo kimapenzi zimepungua with time hata kama.mnaenda vekesheni kubadili mazingira......na hii ni kawaida sasa cha kufanya, jirudishe kiakili nyuma kabisa..jiandae kisaikolojia na pia yeye muandae kisaikolojia pia ili ikifika kwen kitendo muwe mmeshamaliza safari by 50%. Nadhani unanielewa na hapo itafika kileleni.
Halafu kukojoa unakozungumzia, ulishawahi au unamaanisha normal orgasms? Manake squirting ina wenyewe.ulishawahi kabla ya hali ya sasa au umesikia tu?
snowhite hebu nisaidie apo mwalimu..na FP ajazie nyama.mi apa nina hangover ya bday ya my wife wangu AshaDii

Last edited by a moderator: