dagaa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 290
- 382
Habari wana jamvini
Nina shida kidogo ndani ya familia yangu, na mara nyingi nimepata ushauri mzuri tu kutoka ndani ya wana jamii wa JF japo wengine watakukejeli na mengine mengi.
Leo nimekuja umu nikiomba mawazo yenu au dawa ya kutibu ili tatizo, mimi nina mume wangu na nampeenda saaana, na tuna mtoto tayari mkubwa tu, kipindi cha nyuma nilikua ninafurahia sana kipindi tupo sita kwa sita, ila toka mwaka huu uanze kiukweli si enjoy mapenzi yake kabisa, mpaka natamani kama tukae dada na kaka, ila ilo haliwezekani nami sikutoka nyumbani kwetu kufuata undugu, yeye ana enjoy ila mimi anifikishi kabisa, na sifikilii kutoka nje ya ndoa na ndo maana nimekuja umu najua kuna washauri wazuri mnisaidie naomba mchango wenu wa mawazo na uwe wa kujenga na si kubomoa sababu nampenda sana mume wangu na nina wivu nae sana na namueshimu sana, inafikia sa nyingine akitaka nambaniania najua anifikishi so nakuwa simtendei haki mume wangu. Na toka niolewe na huyo mume wangu sijawai toka nje ya ndoa na sitegemei japo wote bado vijana.