funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,579
- 21,078
mmmh nyamayao wewe inabidi uwe kungwi kwenye vichen party maana una kila aina ya uzoefu ktk ndoa :biggrin1:inakera sana, halafu huyu X wa mr alitaka kunitengenezea mazingira ya kumwamini, anacall muda anaojickia, utakachoona call c ya kawaida hata kabla hawajasalimiana utackia mr anasema" hallow fulani, eehh nipo home, na wife yupo tumepumzika kdgo, vipi wewe huko"".....na maongezi yatakuwa mafupi sana mpaka utajiuliza amemcal ili iweje na hakuna cha maana walichoongea...mr akimaliza hapo na yeye kutaka kumalizia kunifunga utackia""fulani anakusalimia""mxxssiii....khaaa...nilienda nae mdogo mdogo cku nilipomtolea hacra nikamwambia sasa ukitaka nimcal hata mume wako sasa hivi naweza na nikaanza kukuharibia kabla cjamaliza kuharibu mazima tutakapokutana face 2face...nikamtajia na no ya mumewe...msamaha zilifululizo hapo ..".ooh jamani bac yaishe"...anabaki kushangaa no ya mume wake nimeipatia wapi na watu tupo mbali....