Sasa hivi mumeo anakaribia umri wa miaka 40, testosterone level inawezekana imeshuka vibaya mno. Tena mna watoto wawili, je wewe unafanya kazi? je unachangia mahitaji ya nyumbani? Je yeye anakipato gani?
Umri + mawazo ya ugumu wa maisha kichwani, hamu ya ku-do ina approach zero.
Once per week si mbaya,
Ila once per quarter inabidi mnaohudumiana mshibe kwanza:becky:, ugali mhogo na migebuka
Wee mwache ajipe moyo!Huwa nafurahishwa na wanaosema hawaoni dalili za kusalitiwa nje ya ndoa..!
Mmmh.... Wanaume unawajua au unawasikia? Unataka akikusaliti mpaka apige tarumbeta?
Bidada anasema akibahatika ni mara moja kwa mwezi tena ni dkk 3 at most. Kuna tatizo, na mwanaume anatakiwa aongee na mkewe ili waone jinsi ya kutatua hilo tatizo.
Hali hii ilianza muda mfupi tu baada ya kufunga ndoa,kwa kweli nimejaribu kila ninaloliweza lakini hali haibadiliki.ninahisi uvumilivu umeanza kupungua ndio maana ninaomba ushauri wa ziada.
Yeye ni mhandisi na mimi ni daktari
Hayo ndiyo malipo yakuanza kujamiiana kabla ya ndoa, ona sasa mmechokana tayari..
I love you so much my sister...
Yeye ni mhandisi na mimi ni daktari
asante sana ma diarest!!
unajua ndio maana mimi nimemquote Kiranga kwa kumpa facts ambazo zinaasilika kote kote. namshangaa sana hata Evelyn Salt na Speaker wanaomlaumu mwanamke wakasahau kwamba kosa la mume kuwa na uwezo mdogo ni fault ya mwanaume period. ukiangalia kwa makini zaid hata wanamke uwe msafi kama lulu, na mjuzi wa mambo kama papa bado uwezo wa kumaintain erection kwa mwanaume uko mikononi mwa mwanaume.
dah!!! nashindwa kuelewa kabisa inakuwaje wew uwe daktari halafu tatizo kama hili unakosa ufumbuzi nalo.
ningekuwa mm ningempa dawa za kuongeza libido kwisha habari yake. hivi kwani ukimchoma adrenaline haitaenda chini?? khaaa! ...................siwez kufa kisa dudu la kuvizia. changamka Dr usije ukaishia kujitia vidole.
nimecheka sana leo kuliko kawaida jameni...apige tarumbeta!?.....hii kali ya kuanzia mwaka kwa kweli...Huwa nafurahishwa na wanaosema hawaoni dalili za kusalitiwa nje ya ndoa..!
Mmmh.... Wanaume unawajua au unawasikia? Unataka akikusaliti mpaka apige tarumbeta?