Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 248
mwanamke akishaolewa ndo kamaliza no romantic issue ukkijifanya unaleta mambo ya romance utasikia eti sisi si watoto au anakuambia nenda kafanyie vimada wako. siishi kushangaa kwa kweli
Mie kwa mtizamo wangu kuna tatizo mahali hasa kwako wewe mke wake kuna kitu hujafanya au umefanya cha kumpoteza stimu, kumbuka love/mapenzi huanzia akilini na enadepo akili iko offside utashangaa hata kama mlingoti ulikuwa umesimama utalala doroooo, do something to you love partner be with you in bb, Ie in body and brain.Anavaa suti ya kuzaliwa licha ya vidress vya mitego. Mume mchovu au malaya full stop. Si kosa la mkewe wala nini; bidada, piga magoti kwa Mungu huenda akanrudishia nguvu za kiume kama devil ameikwapua ili kuharibu ndoa yako, hata kama anamwaga nje basi Mungu amuoneshe uovu wake na arudi kundini!
Mkuu E-SALT nimeipenda hoja yako dada, naomba tupe raha kwa kufunguka zaidi usaidie wake zetu wanajisahau sana mpaka tunawazoea.Kwa kiasi kikubwa wanawake tuko responsible kwa hili tena sana sana walioolewa!!!!
mwanamke akishaolewa anajisahau sana, unaishi na mume kwa mazoea......
Hayo ndiyo malipo yakuanza kujamiiana kabla ya ndoa, ona sasa mmechokana tayari..
Mkuu E-SALT nimeipenda hoja yako dada, naomba tupe raha kwa kufunguka zaidi usaidie wake zetu wanajisahau sana mpaka tunawazoea.
Dah mtu wangu umeolewa ?:becky:
Wewe ukishauriwa hivyo utajisikiaje...Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.
Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
Ahsante dada umemaliza. Ongeza na hii, ikitokea amejifungua mtoto basi mapenzi yote yanahamia kwa mtoto na kumsahau baba yake. Baba akirudi mama ananukia maziwa ya mtoto na jasho, nepi zinatoa harufu ya haja za mtoto, sasa hapo hamu ya kusulubu "K" itatoka wapi.wakati bado ni gf mwanamke anajijali sana mapoda, mawanja, mapafyumu, unakuwa smart muda wote....
ukiolewa madira, mavitenge yani unajiweka kibibi bibi hata kama una age ndogo, kumjali mwanaume wake ndo basi tena (japo anaweza kuwa na majukumu) ila kumsahau mwanaume sio ishu pia....in short ni mambo mengi tu!!!!
asante sana ma diarest!!
unajua ndio maana mimi nimemquote Kiranga kwa kumpa facts ambazo zinaasilika kote kote. namshangaa sana hata Evelyn Salt na Speaker wanaomlaumu mwanamke wakasahau kwamba kosa la mume kuwa na uwezo mdogo ni fault ya mwanaume period. ukiangalia kwa makini zaid hata wanamke uwe msafi kama lulu, na mjuzi wa mambo kama papa bado uwezo wa kumaintain erection kwa mwanaume uko mikononi mwa mwanaume.
Single, searching......!!!
Kiranga nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa sana ila sasa twende kwenye biological facts, mwanamke anapokuwa kwenye fertile age ndio huwa na ashki zaid kuliko anapokuwa ameshapita umri huo. kwa umri wa bidada ni umri ambao angependa hata kuguswa kila siku ili ajiskie mwanamke kamili. hii inatoka na hormones ambazo kwa wakati huu level yake iko juu zaid plus levels za electrolytes mwilini.
haya tatizo linakuja kwamba while side A is growing upward side B ambayo ni limiting factors na yenyewe grows proportionally matokeo yake ni kwamba NEWTONS FIRST LAW OF MOTION ina apply hapa.
kwenye nini cha kufanya ndio ishu, manake ni subject ya 2 individuals having 2 different approaches with different complications sasa hapa ndipo panapokuwa pagumu.
to me ningemshauri bi dada atulie kwanza ajue kwa mwanaume life starts at 40's so akifika hapa atajikuta hubby wake anarudi kutaka mechi ingawa sasa yeye ke grafu yake inaanza kudrop exponentially.
Yaani unavyo comment tu mie full erection dah utanmaliza mie.....................................!:becky:
nafkiri tulipaswa kuwa two sided manake binti kajielezea yeye na jitihada zake ambae zo mm nimeamini ni za kweli kabisa lkn sikutaka kuona mumewe ndie mkosa bali nilionesha jinsi wote wanavyosababisha haya.Madame nimeongea kwa upande wa mwanake tu, pia mwanaume nae ana yake.....
huenda kuna mambo yanamturn off hata akikaa naked mnara haushiki network!!!!
angalia usije chafua suruali ukatia aibu. sipati picha janaba lako mwenyewe lol!
nafkiri tulipaswa kuwa two sided manake binti kajielezea yeye na jitihada zake ambae zo mm nimeamini ni za kweli kabisa lkn sikutaka kuona mumewe ndie mkosa bali nilionesha jinsi wote wanavyosababisha haya.
kiukweli wanaume wako responsible kwa kumaintain erection yao na sio sisi wanawake.
No, no no no mkuu, you are also a part of the game, you must know my situation! imagine niko very busy/stressed and you wanna have some rounds, unategemea nitaenda mbali if you don't make me forget the stressful staffs? Au if someone calls you through your mobile? Hapo kila upande unawajibika kuhakikisha unaandaa mazingira bora ya kujinafasi na pengine kwa kuwa wawazi. Mfano: kama kuna kitu naona kiko sivyo, nasijasema kitu lazima kuna some decrease in effectiveness.nafkiri tulipaswa kuwa two sided manake binti kajielezea yeye na jitihada zake ambae zo mm nimeamini ni za kweli kabisa lkn sikutaka kuona mumewe ndie mkosa bali nilionesha jinsi wote wanavyosababisha haya.
kiukweli wanaume wako responsible kwa kumaintain erection yao na sio sisi wanawake.