kuna muda huwa najiuliza hicho kilemba kimebeba nini humo!ahahahahhaaha Kaungaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wanipa raha sana mpenzi wangu!lolTafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.
Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
Hiyo itakuwa dharau ya hali ya juu. Au unataka mtoto wa watu aachike?Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.
Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
Hiyo itakuwa dharau ya hali ya juu. Au unataka mtoto wa watu aachike ili wote muwe ma-single girl?Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.
Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?
Mpe asali za inyoga/tabora huyo uone petrol inavyo rusha rocket.
Lakini kwa nini mtu ulete tatizo kama hili sehemu kama hii?
Is that appropriate?
maji yamefika shingoni... Afanyeje?
Hiyo itakuwa dharau ya hali ya juu. Au unataka mtoto wa watu aachike ili wote muwe ma-single girl?