doublep
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 239
- 152
Nimekuzidi vya kutosha karibu 10 yrs sasa nafanyaje?Ulivyoitikia kwa bashasha sasa.
Nimekuzidi vya kutosha karibu 10 yrs sasa nafanyaje?Ulivyoitikia kwa bashasha sasa.
Kweli kabisa.Nyeto ndio mke wake wa kwanza wewe ni mchepuko hivyo tumia busara kutenganisha viapo vilivyokuwapo kabla yako ww
Sijambo kabisa Mzee wa Kungoa. Habari ya siku tele?Hujambo?
Piga marufuku sabuni ndani kwako zitavunja ndoa yako mkuu. Huyo jamaa asiogee kitu chochote kinachotoa povu,ikiwa kinatoa povu iwe chini ya uangalizi maalum. Bila hivyo utampoteza jamaa. Haswa ukiona anapiga mayowe kiasi hicho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku hizi maadili sifuri yaani hadi watoto wadogo wanajua baba na mama leo watafanya nini.
Usikatae ipo sana hiyo hafu apo kasema hamnyimi ila vituko vyao waeza rudi na genye ukaenda imalizia chooni nyumba zina ficha mengi hizi ha ha ha haaaasiyo kweli..., hii chai
Kabisa mkuu sio bure atakua kiburi na zarau tu anzuga tu hapa kwa wengiWe mwanamke wewe hata sabuni imekupindua ? Bora urudi kwenu ujipange upya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanawake wana wivu saana,
Sasa huyu anauonea wivu mkono? Shabashhh
Na minuno isiojulikana ukirudi hamu yote unaipeleka chooni wengine hatujui kubembeleza au kunza kuuliza sababu za minuono ambayo chanzo unakijua mwenyeweYale ya---watoto/watu hawajalala, nina stress ebu niache mie, kichwa chauma, nimechoka, ndio nimetoga kuoga utanichafua nioge tena, sijisikii, na wewe unapenda sana, ebu kakojoe acha kufikiria itasinyaa...zote hizi ni sababu nguli kuleta mpinzani kwa wanawake..
Naona unalinganisha vitu ambavyo aviendani...yaani unafananisha k...yako na Punye.....yaani hapo unakuwa...unafananisha ...Simba sport club na Barcelona... we ni simba sport club alafu punye ni Barcelona.Habari wana gt!
Naandika kwa masikitiko sana mume wangu nimemfumania akipiga punyeto huku akilia kwa mahaba na sabuni mkononi.
Kila anapohitaji nampa muda wowote
Leo unafanya sex na sabuni hivi tatizo nini jamani isitoshe kuna watoto ndani waje wasikie miguno bafuni.
Tatizo nini mnaopiga punyeto hali ya kuwa wake zenu tupo?
Kijana ameathirika kisaikolojia,ni hatar sana hiyo,Labda humtoshelezi dada. Au ni udhaifu wake huo. Ila una mwanamke ndani unapiga nyeto bado? Shikamooni kaka zangu.
Kumkuta na mwenzio na hiyo ipi mbayaMmh. Pole sana huenda ikawa humalizi hamu zake hivyo anabaki nazo na kuona njia sahihi ya kuzimaliza ni hiyo.
Ila tuende mbele na nyuma hapo kujisikia vibaya ni muhimu bana.
Kaa uzungumze naye ili upate kuja kama ni uteja wa nyeto basi ujue nini cha kufanya kumnasua huko.
Ukipata asie na nguvu za kuzidi shukuru kabisa ila kichwa cha chini ni nomaLabda humtoshelezi dada. Au ni udhaifu wake huo. Ila una mwanamke ndani unapiga nyeto bado? Shikamooni kaka zangu.
Sema hamtoshekagi nyieUkipata asie na nguvu za kuzidi shukuru kabisa ila kichwa cha chini ni noma
Kwahiyo handsome na twosome kipi kizuri?Self service ina raha yake!unapiga puligaja hadi unasimama na kucha dadekii
Vyote Kaka tena bora na mwanamke unaweza sema kuna kitu anakikosa sasa nyeto mmh inaleta ukakasi hiyo.Kumkuta na mwenzio na hiyo ipi mbaya
Twosome tamu zaidi ila ukikinai unarudi handsome.handsome inakuwa rarely atleast 1time per monthKwahiyo handsome na twosome kipi kizuri?
MarahabaLabda humtoshelezi dada. Au ni udhaifu wake huo. Ila una mwanamke ndani unapiga nyeto bado? Shikamooni kaka zangu.