Mume wangu lini nimekunyima utamu?

Mume wangu lini nimekunyima utamu?

Raha ya kujipimia size haijawai muacha mtu salama . Mumeo tayari ni muasilika wa ako kamchezo pendwa, kikubwa ni kukanae chini na kumueleza hasari za uo mchezo ni zipi.. Na vipi zinaweza waribu pia watoto wenu endapo wakigundua baba nae ni mdau mkubwa wa hako kamchezo
 
Habari wana gt!
Naandika kwa masikitiko sana mume wangu nimemfumania akipiga punyeto huku akilia kwa mahaba na sabuni mkononi.

Kila anapohitaji nampa muda wowote
Leo unafanya sex na sabuni hivi tatizo nini jamani isitoshe kuna watoto ndani waje wasikie miguno bafuni.

Tatizo nini mnaopiga punyeto hali ya kuwa wake zenu tupo?

Mh, kama kweli kila siku akitaka anapewa?!??? wewe ni muungwana sana! is not normal! kwa kweli mimi sina jibu! simuelewi hata mimi!
 
Yale ya---watoto/watu hawajalala, nina stress ebu niache mie, kichwa chauma, nimechoka, ndio nimetoka kuoga, utanichafua ili nioge tena, sijisikii, na wewe unapenda sana, ebu kakojoe acha kufikiria itasinyaa...zote hizi ni sababu nguli kuleta mpinzani kwa wanawake..
 
Mmh. Pole sana huenda ikawa humalizi hamu zake hivyo anabaki nazo na kuona njia sahihi ya kuzimaliza ni hiyo.

Ila tuende mbele na nyuma hapo kujisikia vibaya ni muhimu bana.

Kaa uzungumze naye ili upate kujua kama ni uteja wa nyeto basi ujue nini cha kufanya kumnasua huko.
 
Unauonea wivu mkono?

Hivi hili jambo ni serious? Kwamba mwanaume akinyetuka ni ishu? mdada mmoja hivi alikua anasimulia alimkuta mme ananyetuka akampiga vibao. Mie sioni shida akitaka namsaidia kabisa.
wee si umekubuhu nani asie kujua nyau weeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom