Mume wangu lini nimekunyima utamu?

Mume wangu lini nimekunyima utamu?

Anapopiga punyeto, anakuwa na uwezo wa kuweka saiz ya kitundu anayoitaka yeye,na kuweka utelezi anaoutaka yeye..
Sina hakika sana kama anaweza kupata huduma hii akitumia kibubu chako.
maniner nimecheka mnoo
 
Du.Huyo kaathirika na huo mchezo toka hamjajuana.Hakuna mwingine wa kumsaidia zaidi yako,mseme live nafuatilia nyendo zake akiwa bafuni au chooni.Akiendelea mpeleke kwenye kikao cha wazee na hasa baba yake kama yupo hai.Pole kwa majaribu
Huu ushauri wa hovyo sana
 
Labda humtoshelezi dada. Au ni udhaifu wake huo. Ila una mwanamke ndani unapiga nyeto bado? Shikamooni kaka zangu.
Mke wake amepoteza mvuto kwake.
Wanawake wakiolewa huwa wanakuwa wa hovyo sana.
Wanaelekeza akili kwa watoto anasahau mume.

Sasa jamaa amemkumbuka mchepuko wake asiyejivunga naye ni chaputa😆😆😆
 
Kunyimwa utamu ni janga la taifa! Wanaume tunapitia wakati mgumu sana aise😣😭😓
 
Hili nalo ni jibu
Anaipata saizi anayohitaji?
Labda achepuke kwa dogodogo
Anapopiga punyeto, anakuwa na uwezo wa kuweka saiz ya kitundu anayoitaka yeye,na kuweka utelezi anaoutaka yeye..
Sina hakika sana kama anaweza kupata huduma hii akitumia kibubu chako.
 
aiseh...

ila kumpa utamu na kumridhisha ni vitu viwili tofauti...

kaa naye chini muulize huenda unaona hilo tendo ila kichwani anapiga style za kila aina na anayemfikiria (huenda ni wewe pia ila anatamani vitu fulani vitokee)!

ili mradi asiongelee habari za kinyume na sheria za kibiologia!
 
Anapopiga punyeto, anakuwa na uwezo wa kuweka saiz ya kitundu anayoitaka yeye,na kuweka utelezi anaoutaka yeye..
Sina hakika sana kama anaweza kupata huduma hii akitumia kibubu chako.
Aiseee 7😅😅😅 nimecheka
 
Anapopiga punyeto, anakuwa na uwezo wa kuweka saiz ya kitundu anayoitaka yeye,na kuweka utelezi anaoutaka yeye..
Sina hakika sana kama anaweza kupata huduma hii akitumia kibubu chako.
Bangi iendelee kuwa haramu aisee😀
 
Unauonea wivu mkono?

Hivi hili jambo ni serious? Kwamba mwanaume akinyetuka ni ishu? mdada mmoja hivi alikua anasimulia alimkuta mme ananyetuka akampiga vibao. Mie sioni shida akitaka namsaidia kabisa.
aisee unamsaidia kupiga nyeto..
hii sasa kivumbi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom