ishengomaf
New Member
- Mar 6, 2008
- 4
- 0
Here we go again....
Source: http://mapenzibongo.blogspot.com/
Msaada kwenye tuta Mapenzibongo, Mimi nipo na mume wangu huu ni mwaka wa tatu saivi na tumebarikiwa kupata watoto wawili. Jana mume wangu amepata kadi ya Valentine kutoka kwa mwanamke ambaye simfahamu. Alikuja nayo mpaka nyumbani hajaifungua, na kwa bahati mbaya au nzuri mi nkaifungua na likuwa imeandikwa hivi, "Love is not finding someone to live with, It's finding someone you can't live without, wako D", kwa kweli hii imeniuma sana. Nikamuuliza hii inakuaje, akanijia juu nakunijibu ni mfanyakazi mwenzie wa ofisini wanafanya nae kazi na amempa kila mtu ofisini kwao. Hapa nilipo niko na dilema
umeona eeh shem!!! mi ndo maana sitaki hizi mambo za mapokeo aaaaaaah!!
ona mama wa watu roho juu sasa........Nipo nawe kabisa......
***mama tulia, nenda posta kachongeshe hii kadi..."Love is not finding someone to live with, It's finding someone you can't live without"
ona mama wa watu roho juu sasa........
let this wind of valentine pass me by forever.....
That is the common story,....haaahaaa.Here we go again....
That is the common story,....haaahaaa.
Hujafa kweli hujaumbika maana hizo story ziko left and right
Mbu, kweli lazima achanganyikiwe kidogo lakini yeye ndiye numba moja na wala asiogope. Lakini lile neno, Wako D. lina mashaka mengi kuwa definition yake ni nini? Wachumba wengi wanapenda kuita D sanajuu ya nini?
...hapo kwenye wekundu ndipo ninapowashangaa w'wake wengine.
Ushatolewa mahari, umekabidhiwa funguo za nyumba, nk...pia na
Surname umepewa copyrights utumie bado tu hujiamini kwamba
''you're someone 'the husband' cannot live without!"
That is the common story,....haaahaaa.
Hujafa kweli hujaumbika maana hizo story ziko left and right
We acha tu...
haswa, siku kama ya jana mioyo mingi ilivunjwa hahaaaaaaaaa lol!!!
heheeee shem na mimi nilipata kisa jana....nilishindwa kujizuia nikamwambia yule anayejidanganya ni bf yupo kwenye kikao cha harusi yake na mwanamke mwingine!!!!
bht
natamani unisumilie hii stori yote.
unataka nikusimulie kwa Pm au kwa hapa au baadae tukiwa tunaenda hm??? hahaaaa lol!! MV mapenzi!!!
mh..
njoo pm.