Mume wangu katumiwa Valentines card na mwanamke mwingine

ishengomaf

New Member
Mar 6, 2008
4
0
Source: http://mapenzibongo.blogspot.com/

Msaada kwenye tuta Mapenzibongo, Mimi nipo na mume wangu huu ni mwaka wa tatu saivi na tumebarikiwa kupata watoto wawili. Jana mume wangu amepata kadi ya Valentine kutoka kwa mwanamke ambaye simfahamu. Alikuja nayo mpaka nyumbani hajaifungua, na kwa bahati mbaya au nzuri mi nkaifungua na likuwa imeandikwa hivi, "Love is not finding someone to live with, It's finding someone you can't live without, wako D", kwa kweli hii imeniuma sana. Nikamuuliza hii inakuaje, akanijia juu nakunijibu ni mfanyakazi mwenzie wa ofisini wanafanya nae kazi na amempa kila mtu ofisini kwao. Hapa nilipo niko na dilema
 
juu ya nini?

...hapo kwenye wekundu ndipo ninapowashangaa w'wake wengine.
Ushatolewa mahari, umekabidhiwa funguo za nyumba, nk...pia na
Surname umepewa copyrights utumie bado tu hujiamini kwamba
''you're someone 'the husband' cannot live without!"
 
nawewe mtumie mwanaume mwingine bana,jino kwa jino na ngunguli kwa ngunguli
 
hivi huyu mwanaume naona akili yake hamnazo kadi ya mapenzi ..harafu anaenda nayo home
Jibu -wanafanya nae kazi lol
Iko kazi ...Mama pole unaibiwa
 
Mbona ni maneno ya kawaida tu hayo... some people in office can't live without others...and hence ka kadi kama hako kushow appreciation. Ingekuwa ni kadi yenye bomu asingeileta home. By the way valentine day is all about love...and sex is only a minor part of it (kama kweli huyo dada anadhani kuna hako kamchezo)!
 
"Love is not finding someone to live with, It's finding someone you can't live without"
***mama tulia, nenda posta kachongeshe hii kadi...

'love is NOT all about falling in love but rising everytime you fall, I will always be yours forever' I love you my sweet husband'

Kisha utakapo lala iweke katika meza anayoweka ufunguo wa gari lake, au iweke katika dash board ya gari yake, au iweke katika meza/kioo ya/cha kuvalia.

Usimwambie kitu mpaka akuulize!

That's a very nice 'revenge'
 
juu ya nini?

...hapo kwenye wekundu ndipo ninapowashangaa w'wake wengine.
Ushatolewa mahari, umekabidhiwa funguo za nyumba, nk...pia na
Surname umepewa copyrights utumie bado tu hujiamini kwamba
''you're someone 'the husband' cannot live without!"
Mbu, kweli lazima achanganyikiwe kidogo lakini yeye ndiye numba moja na wala asiogope. Lakini lile neno, Wako D. lina mashaka mengi kuwa definition yake ni nini? Wachumba wengi wanapenda kuita D sana
 
That is the common story,....haaahaaa.
Hujafa kweli hujaumbika maana hizo story ziko left and right

haswa, siku kama ya jana mioyo mingi ilivunjwa hahaaaaaaaaa lol!!!

We acha tu...

heheeee shem na mimi nilipata kisa jana....nilishindwa kujizuia nikamwambia yule anayejidanganya ni bf yupo kwenye kikao cha harusi yake na mwanamke mwingine!!!!
 
bht
natamani unisumilie hii stori yote.
 
...pessimists bana,

wao kila jambo 'kwanini?!'...
Badala ya kusoma na kuuchanganua ujumbe mzima mumewe asivyoweza ishi bila yeye, kakimbilia kusoma na kupigia msitari; "yours D"

Sasa na nyie mnazidi kupigilia misumari hapa, barua zenu ngapi zinaishia na "yours..." au kuanza na "Dear..." ? :)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom