.... Sasa siku moja usiku nashangaa msg inaingia:-
YEYE: Darling mambo vipi? Naona tangu jamaa yako arudi umenitosa
MIE: Mbona mie sikufahamu?
YEYE: Hee! kumbe tuko wengi tunaoiba? Njoo basi tukutane hapa Rose garden
Na mengine meeengiiiii.......
Nilienda kumuona mhusika, kwani sina hiyo right?
Lol, Kongosho ingekuwa wewe hapa ungefanyaje? Hebu nipe mauzoefu, maana hapa sina amani kabisa
Usijali my dear, ni mambo ya kawaida tuu kwenye jamii yetu hii. Back to the topic mwenzio sina amani sasa, nifanyeje? Ushauri wako
hiki kipande ndio kilichonifanya nihisi ulienda huko usiku....
aah nahisi mumeo alikua anakupima ingawa si tabia nzuri kwa mpenzi kufanya hivyo...
pia nawe ni vyema ungempotezea na wala usingeenda huko Rose Garden maana si watu wote wenye nia njema
kitendochakujipeleka huko umeprove kwa mume wako kuwa u msaliti. Maana kama kweli ulikuwa hauuzi mechi usingeentertain hizo msg, hapo ungempa mumeo imani kuwa umemtunzia.
Sasa humjui(hata kama unadai ulishtukia mchezo) ulienda kumjua ili iweje? Kwa kitendo hicho mumeo atajiuliza ni mara ngapi unaenda kwenye vi-date na wanaume usiowajua na unaiwajua.
Ulichopaswa kufanya mara baada ya kubaini mchezo ni kumuuliza mumeo kama anahusika na hizo msg, then kumpa karipio mtoa msg. (hichi ndicho mume wako alichokitaka, maana alikuwa anataka ajiridhishe kuwa unamtunzia na yupo peke yake kwako.)
Mimi huwa namtukana mtu yeyote anayejifanya kunijua endapo hanitajii jina! Huyo mumeo mpole, angeweza kukubadilishia kibao. Au angemtumia rafiki yake ili apate reaction yako.
Ila kitendo alichofanya ni cha kitoto, ingekuwa kipindi cha uchumba sawa; lkn sasa what is he looking for?
Hahaa, na hili nalo laweza kuwamo. Ila mie namuamini, na muda wote akiwa huko nlimwombea arudi salama tuijenge family yetu. Kumbe mwenzangu ndi ivo tena
bombu ulikosea kwenda kwenye miadi. Ukubali usikubali, tunachezewa sana kwenye simu, mtu anajifanya anakujua na kukuambia ukampokee airport etc.
Siku hizi pia kuna matapeli wamewaliza wengi, hivyo usijifanye mpelelezi.
Mwisho shukuru Mungu mumeo mpole, ungepata psycho fulani, pangekuwa padogo!
If u want to learn something, this is what u should take as a lesson today!
bombu ulifanya kosa kukubali miadi na mtu usiyemfahamu, wakati unajua kabisa nia yake. Nakwambia kweli mumeo ameshajua mkewe ni wa aina gani. Mshukuru Mungu kwa kuwa mumeo ni mpole na inaonesha anakupenda. Kwa mwingine hii ingekuwa kesi kubwa. Halafu ungefanya vizuri kama ungeleta hapa jamvini wakati ulipokuwa unapokea vile vimeseji ili wenye mauzoefu wakusaidie, sasa umeleta wakati movie imeisha, tena imeisha vibaya maana stelingi kauawa. Pole, najua hapo ulipo unatamani movie ianze upya. Chukua hilo kama fundisho. Siku nyingine FIKIRI KABLA YA KUTENDA.
Asante my dear Rejao, nlikuwa nalea mie nilitaka nimjue huyo mtu, kwani sikuwa na uhakika zaidi kuwa ni yeye au ni mtu ananchezea akili.