mimi nimeolewa miaka mingi iliyopita nimeishi kwa amani na upendo na mume wangu,pia mungu katujalia watoto na mali lukuki, kwa kifupi sina shida.ila sasa matatizo yameingia ndani ya nyumba.
huu ni mwaka wa nne mume hawezi ku make love na mimi ila kukuta na msg za madem nakuta,moyoni najiuliza hivi hawa nao anatia nao story tu?nilivumilia sana nikaanza kutembea nje,wa kwanza mwanachuo mwenzangu yaani upuuzi mtupu mapenzi hamfikii hata robo mume wangu,wa pili mfanyakazi mwenzangu nae ndo kabisaa akicome anajipiga kichwa then analia kama mbuzi hee:frusty: mwisho nikaamua nitulie tu home.
mwaka mmoja nyuma nikabuni kamtindo ka kujiridhisha mwenyewe nikaona raha ajabu mpaka miezi minne nyuma nikambana mume akakubali NJE AKIENDA ANAPIGA MZIGO KAMA KAWA AKIJA KWANGU ANASHINDWA!!!!! jamani wana jf wenzangu nisaidieni mwanamke wake kamloga au mimi ndio nina matatizo? na kama ni mm mbona wale watu walipiga mzigo kama kawa?? na mbona akiwa anataka kufanya mapenz jogoo anawika akinigusa tu inasinyaa jamani duniani kuna mambo na mateso ya kila aina
kuna mtu kanishauri niende kwa mganga mwanamke wake wa nje kamloga.niende?kuna mtu tatizo kama hili lishampata?nifarijini na mnishauri mwenzenu nateseka sana.
1. Hatua ya kwanza ni kutubu,Mungu akusamehe,umekosea sana,hushindani na ibilisi ndani ya mumeo kwa kumuunga mkono ibilisi kwa mwanaume mwingine.Si suluhisho,na nakuambia huko ulikoenda ndo umeenda kutafuta shida.
2.Hako katabia ka kujiridhisha mwenyewe kaache,huwezi jua unashughulikiwa na majini mahaba,nenda kanisani usikie shuhuda za watu,wanaondo uhusiano wowote na mwanaume mwingine kwa mambo kama hayo,mwanaume hawezi fanya mapenzi.Mungu aliyewaunganisha anajua kwanini alituweka tofauti na akaweka ilo tendo la ndoa.
3.Usiende kwa mganga nakusihi tena sana,piga magoti muombe Mungu,unaenda chukua pepo lingine huko,Mungu ni zaidi ya yote,sali sana na uwe na subira atakujibu,nenda kwenye maombi/dua za pamoja na wenzio,usiruke kwa mganga.
4.Kaa mbali na marafiki wabaya wakati huu ukiwa na matatizo,zungumza na Mungu,mumeo,mama au hata dada......usitii ushauri wa kwenda kwa mganga hata kama unatoka kwa mama yako,huyo hawara kama unahisi alikulogea kwa mganga,we unaenda fanya nini?gharama za bure,yupo Mungu.
Michelle j 2 huwa unahubiri kanisa gani ?
Mbona hii story haijakaa sawa ? Hawezi ku make luv, then ukaanza umalaya halafu unasema huyo mwanafunzi sijui work mate hajui mapenzi na hafiki hata nusu ya mmeo... ???
Michelle j 2 huwa unahubiri kanisa gani ?
Huu ni moja ya ushauri wa busara kabisa kuwahi kukutana nazo, sina cha kuongeza dada zingatia huu :A S 39:1. Hatua ya kwanza ni kutubu,Mungu akusamehe,umekosea sana,hushindani na ibilisi ndani ya mumeo kwa kumuunga mkono ibilisi kwa mwanaume mwingine.Si suluhisho,na nakuambia huko ulikoenda ndo umeenda kutafuta shida.