Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Je! Alikuwa hivyo mwanzoni mlipoanza mapenzi yenu?? Je alianza kubadilika lini? Mlikaa kwa maelewano kwa mda gani baada ya kukaa ndani?? Una uhakika kwamba anatembea nje?? Wanaokupa taarifa zake ni vyanzo vya kuaminika?? Mwisho kama mmefunga ndoa sali kwa imani.Na behave kama mke.
 
Wadau napitia mengi, lakini ili ndoa istawi hili jambo lazima maana liko ndani yetu. Namridhisha kitandani mume wangu ili watoto wangu wamuone baba yao kila siku asije kudhibitiwa na michepuko. Pia tuweze kujenga maana watoto wanatutegemea sisi. Kiukweli nimeona watu wengi wakiacha familia zinateseka sababu ya michepuko watoto wanateseka
 
Tumia vidole kujifikisha kileleni,

Dushe ya huyo jamaa imeexpire baada ya kula 071 za machangudoa
 
Embu tuonane nikushauri vizuriiiiiiii ikiwezekana njoo nae
 
Mmmmh makubwa!! Ila hakuna kinachoshindikana ktk maongez. Jitahd kukaa nae chini na kuwa mpole sna na pia kuwa maridhia kwke, huyo ni binaadam unapomfanyia mazur na kumcare zaid, nafc yke itamsuta.
 
Yuko vizuri mapungufu yapo sawa, pindi anapoanza tu hali chakula, hakai ndani ile mipaka tulioekeana anavunja na kibaya hadi simu atapokea akiwa ndani
 
Kuna kitu kimoja ambacho wanawake wengi wakishaolewa huwa wanajisahau,sisi wanaume tunavutiwa sana na hisia za macho,kwa hiyo kina dada wakishaolewa wakazaa basiii anafikiri ameshamaliza kwa hiyo ile namna iliyomvutia mume wake awali anaiacha,ngoja nikuambie mwanaume ni yule yule kama alikuwa anavutiwa na mavazi uliyokuwa unavaa au u smart uliokuwa nao usidhani kwamba hahitaji tena hiyo hali no anahitaji Sana'a,kwa hiyo kama unashinda na dira akirudi anakukuta na dira uliloshinda nalo kutwa mzima wakati nje huko kuna wanaopiga vitu anavyovutiwa navyo lazima uibiwe,kabla ya kulala mtie tamaa ya ngono mumeo ukiwa chumbani vaa night dress inayoonyesha Nguo yako ya ndani kwa mbaali na uwe na shughuli za kujizungusha zungusha mahali alipo,pia wakati wa usiku epuka story zitakazomtoa kwenye Mudy mumeo mpaka baada ya tendo waweza ingiza story zako hata kama kakukosea subiri akupe dozi then mwambie lililo moyoni,nitarudi baadae.
 
Huo sio
Tumia vidole kujifikisha kileleni,

Dushe ya huyo jamaa imeexpire baada ya kula 071 za machangudoa
Shauri mzur hta kidg, hem imergine mtu qnakuja umpe ushauri juu yakasa wke a uwo halaf unamshaur hivyo, iv kweli uko serious na kutoa ushaur?
 
Nichek in box..
 
Unasikiliza jirani akipiga kelele za nini? Miguno ya mahaba au?
 
Wanawake mna umwezo mkubwa sana wakutufanya wanaume tufike kileleni kwa kuchelewa ama kwa kuwahi...Hii ikimaanisha unaweza uka-play part yako kama mwanamke vizuri kama una utundu huo lakini mpka pale utakapo ona umerithika ndo na yeye amalize....So labda na wewe umepwaya kwenye nafasi yako...
 
Piga goti sana ukiomba Mungu ndo pekee anaweza kumbadilisha mume wako.Usichoke kumuombea mwenza wako na Mungu atasikia maombi yako.Zaidi ya hapo huwezi kupata msaada kwa binadamu juu ya kuchepuka na kutokukuridhisha mume wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…