yani unampa mpaka 0713 lakini bado anatoka nje??? hebu jaribu kumchunguza asije akawa jini...nampa
Embu tuonane nikushauri vizuriiiiiiii ikiwezekana njoo nae
Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.
Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.
Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!
Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Yuko vizuri mapungufu yapo sawa, pindi anapoanza tu hali chakula, hakai ndani ile mipaka tulioekeana anavunja na kibaya hadi simu atapokea akiwa ndaniJe! Alikuwa hivyo mwanzoni mlipoanza mapenzi yenu?? Je alianza kubadilika lini? Mlikaa kwa maelewano kwa mda gani baada ya kukaa ndani?? Una uhakika kwamba anatembea nje?? Wanaokupa taarifa zake ni vyanzo vya kuaminika?? Mwisho kama mmefunga ndoa sali kwa imani.Na behave kama mke.
Kuna kitu kimoja ambacho wanawake wengi wakishaolewa huwa wanajisahau,sisi wanaume tunavutiwa sana na hisia za macho,kwa hiyo kina dada wakishaolewa wakazaa basiii anafikiri ameshamaliza kwa hiyo ile namna iliyomvutia mume wake awali anaiacha,ngoja nikuambie mwanaume ni yule yule kama alikuwa anavutiwa na mavazi uliyokuwa unavaa au u smart uliokuwa nao usidhani kwamba hahitaji tena hiyo hali no anahitaji Sana'a,kwa hiyo kama unashinda na dira akirudi anakukuta na dira uliloshinda nalo kutwa mzima wakati nje huko kuna wanaopiga vitu anavyovutiwa navyo lazima uibiwe,kabla ya kulala mtie tamaa ya ngono mumeo ukiwa chumbani vaa night dress inayoonyesha Nguo yako ya ndani kwa mbaali na uwe na shughuli za kujizungusha zungusha mahali alipo,pia wakati wa usiku epuka story zitakazomtoa kwenye Mudy mumeo mpaka baada ya tendo waweza ingiza story zako hata kama kakukosea subiri akupe dozi then mwambie lililo moyoni,nitarudi baadae.
Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.
Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.
Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!
Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Hayo ni mabonde milima bado tambarare mliimaliza wakat mpo uchumbavumilia dada, atakuja tulia tu, unakumbuka uliambiwa kwenye ndoa kuna mabonde na milima, usizanie kila siku mambo yananyooka tu kwenye ndoa.
Shauri mzur hta kidg, hem imergine mtu qnakuja umpe ushauri juu yakasa wke a uwo halaf unamshaur hivyo, iv kweli uko serious na kutoa ushaur?Tumia vidole kujifikisha kileleni,
Dushe ya huyo jamaa imeexpire baada ya kula 071 za machangudoa
Nichek in box..
Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.
Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.
Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!
Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Unasikiliza jirani akipiga kelele za nini? Miguno ya mahaba au?