Mume wangu: Basi uwe unatumia kondomu!

Nemo kamaliza kila kitu.

Mmama amwambie mumewe watumie kinga wao, na amuache mumewe apekue huko mtaani.

Kingine anachoweza ni kumnyima unyumba kama anataka kukaa na watoto wake; ndoa nyingi zimeshapitia majaribu ya hivyo (hapo viongozi wa dini huhusika)

Mwisho ni kuachana naye!

Hiyo ni kama kweli anajali future ya watoto. Ingawa si 100% sure coz vifo vipo tu, hata kwa ajali!
 
Last edited by a moderator:
kuna thread zingine zinakugusa hadi unashindwa cha kuchangia, kama hii, namuonea huruma sana huyu wifi yetu anayetaka hubby atumie condom. tafiti yangu ndogo ilinifanya nigundue kua wanaume walio kwenye ndoa hawatumii condom wakizini nje. hii nadhani inatokana na vile anadhani why use a condom wakati kwa mkewe anaenda peku? ni fikra yangu tu. vijana wasio na ndoa ndio wengi hutumia condom na wako very careful. kwa wanawake sina hakika aliye mwangalifu zaidi ni aliye kwenye ndoa au aliye nje ya ndoa.
 
so yuko tayari kuhakikisha anatoa uhuru wa jamaa kufanya nini kilichoko akilini mwake.. kuna mambo hutokea kwa muda ndo maana anatakiwa kuongea na mwenza kwanza atambue kwamba mwenza katambua then unaendelea na nini unataka kiwe na si kuamua matumizi ya condom ndani ya ndoa .. so unampa uhuru nani na kwa nini?? ina maana wewe unajiweka kwenye nafasi ya hawala

BPM
Duh...........................hata sijui nisemeje. Maybe nikuulize, wewe ulivyo soma hii story did you get a feeling what is missing ni jamaa kupewa uhuru wa kucheat? If its cheating huyu jamaa is cheating already and the wife knows and has accepted that. Her only issue is jamaa ajikinge!! Mimi sielewi kwanini watu hawapendagi kuface reality na badala yake we end up hiding behind visingizio kibao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

PS
Dedicated to all JF smart and strong women!!

If (Mumeo sleeps around and you are aware of it)
Choice:= Leave

Else If, ( Is he willing to change)
Choice:= Stay and work it out

Else if, ( Are you willing to risk you life)
Choice:= Continue living happily in your denial bubble​
Else
Choice:= Get tested and implement safe sex​
 
i know how she can feel, ila siku zote n vyema kukabili tatizo na kulipatia ufumbuz tatizo. wengi hukimbia tatizo hata wengine huamin wanatatua tatizo kumbe kumbe hawako tayari kulikabiri tatzo. naamin bado ana nafas ya kumbadili mumewe
 
jamaa atapata majibu ya kujilipua kwake kavu kavu muda si mrefu... in any case, huyo mama anapaswa kufanya uamuzi mgumu ili aweze kujiokoa kutoka kwenye tabia hatarishi ya mumewe
 
Kwani Matumizi ya kondom kwa wana ndoa hayawezekani???????
Nadhani ni wazo potofu

Zinatumika kupanga uzazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom