Mume wangu ananinyima unyumba

Kweli shida duniani zinatofautiana, jamaa anakataa papuchi wakati wengine tunabaniwa na wake zetu duuuh!! Unatamani uachane na michepuko lakini mwanamke anavyoibania inabidi shida zako ukamalizie kwenye michepuko tu.
 
Pole, umemiss maisha!
Ipo siku atazinduka kutoka kwenye usingizi alionao. Mvumilie tu. Huu ni mwaka wa Magufuli atawapunguza hao michepuko na kurudi rasmi.
 
Pole sana.. Jalibu kumuhamasisha chukua dyu dyu nyonya akiendelea kukataa mshitaki kwa wazazi.. Asije kuponza mdada wa watu ukawa unacheka cheka hovyo.. Maana tendo muhimu hilo.
 
Pole sana.. Jalibu kumuhamasisha chukua dyu dyu nyonya akiendelea kukataa mshitaki kwa wazazi.. Asije kuponza mdada wa watu ukawa unacheka cheka hovyo.. Maana tendo muhimu hilo.

Kha! akishtaki ndo atakua anampa?
bwana mapenzi hana na mkewe kamchoka kilichobaki ni kila mtu aende kivyake tatizo shoga kangangania anajitia upofu haoni
 
unajua haya mambo ya ndoa ni magumu sn.mume hawezi kukataa tu bila sababu bi dada.tuambie lazima kuna kitu hapo
 
Kha! akishtaki ndo atakua anampa?
bwana mapenzi hana na mkewe kamchoka kilichobaki ni kila mtu aende kivyake tatizo shoga kangangania anajitia upofu haoni
Mmh pengine shemeji alikuwa anamridhisha sana..
 
huo ugomvi wa mara kwa mara ndo umemkata steam mmeo,ila lazima anachapa nje
 
tatizo ni we kuwaza ngono, mpe muda mwenzio apumuwe.
he is a human being and not a sex machine, and the first sexual organ is the mind - mwenye masikio na asikie kile Roho ayaambia makanisa
Is this realistic or mere dramma? Tujaribu kuwa halisia sio kuigiza. Kama mtu yupo bize na maisha kwani lazima aoe? Si aishi peke yake atafute kwanza maisha?
 
Hata mie ninatizo Hilo Nina imewzi6 achana nae shughulika na maisha hayo muwachiye aliyompata nayeye yatamkuta
 
Dai talaka
 
Tafuta ka kijana kawe kanakusugua vzr huyo kwisha habari yake mambo hawezi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…