Usionekane tu,unafikiri yeye mlemavu eeeh!kaa na kidudu chako ,watakuja wanaojua kuliko wewe alafukumrudisha utahitaji tume Jecha kuingilia kati.Yaani umeshindwa kuvumilia mpaka umekuja kuyasema huku?
Ulidhani sitokuwepo?
sasa safari hii hutoniona nyumbani kabisa
Nimekwambia huu ni mwaka wa 'kazi tu' siyo sex mbona hunielewi wewe?
Imaginative comment
Pole mama, karibu kuongea naye siku ukiona furaha, vilevile yawezakana anatatizo lakini anashindwa kukueleza tatizo lakeHabari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.
Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.
Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote
hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.
Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba.
Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.
Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,
hili swala linanikondesha jamani naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Miezi mitatu unapumua nini moto?umekua kiboko wewe?au nyangumi?
Halafu wanaume mkiwa mnatatizo la uzazi mnaboa kweli kusema kwenu niishu siuseme tu kama hudindi anymore.
Ukome kabisa kuunganisha neno la Mungu na roho zako chafu idiot.
Ondoka na ujuaji wako hapa,hayo mashida hayampi haki yakuto mwambia mwenzie anavyojiskia sio kunyamaza tu,kama muungwana utasema shida tusaidiane sio unakaa kimya sasa huyu dada aote?Amina kubwa mkuu, ni kweli kabisaa mtoto anweza kuwa mkubwa. Anyway, yote kwa yote sijui kama wewe ndo monica mtoa ujumbe au vinginevyo
1. Jina lako linaweza kuwa linashabihiana sana na tabia na akili yako.
2. Tatizo la kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi sina uhakika sana kama ndiyo tatizo la kutodinda.
3. Unapaswa ufahamu physiological differences kati ya mwanamke na mwanaume - mwanamke hata kama hana hamu ya kufanya mapenzi, bado anaweza kushiriki ngono kwasababu sexual parts ni intrinsic, then only difference you will notice ni fluid content. Kwa mwanaume hali ni tofauti kwasababu yuko extrinsic, so ni lazima erection ifanyike. Kufanya erection kunahusisha sana ubongo, so kama hana mawazo, ana stress, ana matatizo ya kifamilia, hana fedha, n.k bado inaweza kumsababishia kushindwa kudinda, na kama itadinda will be not very firm, and for a while
Mwisho ni kushukuru kwa kuchukua muda wako kujibu bila kutafakari nilichoandika, na Mungu wangu akubariki sana
Ondoka na ujuaji wako hapa,hayo mashida hayampi haki yakuto mwambia mwenzie anavyojiskia sio kunyamaza tu,kama muungwana utasema shida tusaidiane sio unakaa kimya sasa huyu dada aote?
poleMonika2 Member
#1
Today at 6:27 PM
Joined:Wednesday
lalamaliwato JF-Expert Member
#64
22 minutes ago
Joined:Nov 24, 2014
Huyu ni mtu mmoja
Ni pm nikupe dawa yakeahsanteni kwa ushauri wenu, hapa nimekaaa namsubiria niongee nae kwa mara ya mwisho kabisa, nitamueleza yaliyo moyoni na kumsikiza anasemaje.
Ha ha ha umeniwahi mkuu, papuchi inataka dyudyu hiidah pole wengine tunazitafuta papuchi wengine hazitaki kweli human being are equal but unique
omba sana muulize Mungu anaweza yote ondoa mawazo yako sasa jiweke huru nafsini mwako uwe busy na mambo mengneSuper human nimejishusha sana, nimekua kama mtumwa kwake kila anachosema nafuata ili kumridhisha, najitahidi kujipendekeza lakini naambulia machozi tu.
Asipo kuelewa niandikie tena barua tuone tunatatuaje tatizo lako la ukosefu wa Ajira ukiwa teyari nitakuita uje ufanye interview ukiwa vizuri nitakupa ajira ya Kudumuahsanteni kwa ushauri wenu, hapa nimekaaa namsubiria niongee nae kwa mara ya mwisho kabisa, nitamueleza yaliyo moyoni na kumsikiza anasemaje.
Sawa tunasubiri mrejesho Kesho. Namshukuru Mungu nimembembeleza wife kanipa. Sasa ngoja nilale.ahsanteni kwa ushauri wenu, hapa nimekaaa namsubiria niongee nae kwa mara ya mwisho kabisa, nitamueleza yaliyo moyoni na kumsikiza anasemaje.
ahsante