Mume wangu ana michepuko mingi


Njoo uwe mchepuko wangu kama uko huru.....
 
Dah!! Hayo manii ya mumeo haijamuunguza housegirl? Monicca wewe kiboko...
 
Dawa ya moto ni kuwa moto zaidi yake, nitafute tuukoke.
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaaa.Pole saaana teh!
 
Pole lkn ndoa inataka uvumilivu.
Kwan hukumchunguza hadi ukaolewa nae?

Next time ukitaka kuolewa lazima u shake well before use.
 
Pole lkn ndoa inataka uvumilivu.
Kwan hukumchunguza hadi ukaolewa nae?

Next time ukitaka kuolewa lazima u shake well before use.
we' achana naye muongo huyo, pitia threads zake humu utajihakikishia mwenyewe........
 
Kwa nini monicca unadanganya wakubwa wenzio? Mara naolewa mara nimeachika,kadanganye watoto,sawa?
 
una bahati haujaolewa na mimi na kama ungekuwa ndio mke wangu we' ungeisoma number. halafu unaonekana tu una gubu sana.
Cheza na moniccca wewe! Hii namba nyingine kbsaa!

Gubu ninalo ndiyo au unataka nikugawie japo kiduchu? Hata mkeo analo sema ni mwoga tu.
 

Mume wako si ni yule aliyekataa kufanya hadi muoane?...basi sawa...ukishuhudia michepuko mingine isiyopungua dazeni urudi hapa nikupe neno!
 
Kwani nyumbani mlikua ham sex had awe na michepuko mingi kiasi hicho? Inaonekana ulikua unampiga kalenda na vi sababu vya ajabu ajabu. Mfano mara ooh leo nimechoka, ooh leo naumwa, ooh leo sijisikii, ooh leo nipo kwenye siku zangu. Anajikuta mwezi umekatika hivi hivi bila ku do. Ikamlazimu atoke nje bila kupenda. Halafu, ulifanya makosa kujichukulia maamuzi peke yako bila kuwashirikisha watu wenu wa karibu. Kiasi kwamba inanipa wasi wasi na uhalali wa ndoa yenu. Pole kwa kuwa yameshatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…