Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 15,857
- 123,322
Mume wako ni wa mwendokasiWandugu habrn za kazi.
Niende kwenye mada
Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.
Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.
Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.
Na sina haja ya kuolewa tena.
Nawasilisha.
Nakupendaga sana nimpendenani,Mmmmm,shosti una moyo ......ivi unaachwa na unakuja kutangaza? BIG UP...............
tumechoka na mada zako za kutungatunga kila kukicha.........leo uongo huu kesho uongo ule!!!!!!!!!!!!!!Wandugu habrn za kazi.
Niende kwenye mada
Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.
Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.
Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.
Na sina haja ya kuolewa tena.
Nawasilisha.
Hii peleka jukwaa la malalamiko mkuu..Chai haina sukari magu kabana
sio mwendo kasi.ni 'mwendo wa haraka'Mume wako ni wa mwendokasi
Haya tumpigie makofi Ras Simba [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]I love you moniccca. You are the original one, no one can replace you or photocopy you.