Mume wangu ana michepuko hamsini kidogo

Wewe si uliolewa kwa mbwembwe juzi tuu au zilikuwa swaga? Kumbe wewe ndo uliyeoa hukuolewa! Pole sana ndo tatizo la vi Hammonize,tafuta mtu mzima akutunuku upendo.
Kwani kuolewa juzi ndo kunamzuia mtu asichepuke?
 
Nakumbuka ulitualika kwenye harusi yako moniccca, baada ya wiki ulituambia uko na raha sana na ndoa yako.Kumbe mumeo alifuata tu mtelemko kwako? Hakuwa na mapenzi ya kweli kwako alifuata pesa zako.

Huenda anakuchuna anahonga wale awapendao. vumilia tu mama.
 
Kwani kuolewa juzi ndo kunamzuia mtu asichepuke?
Hata kama, bado ni mapema mnoo.Lakin kusema ukweli sisi wanaume kuchepuka hakuepukiki,tatizo nyie wenzetu ukweli huo hamuutaki.kinachotakiwa asifanye waziwazi lakin pia na wewe usitengeneze mazingira ya kumfumania,usikague simu na uciwe mtu wa kuhesabu michepuka ya mumeo.Wakati mwingine tunamuoa mtu siyo kwamba unampenda ,hapana ni maisha tuuu.Wootee tujue Mungu anatuona.
 
Sina nilichopunguza uwezo wake wenyewe ni wakuvumilia yaani anapenda kuonekana ni mjanja lkn sekude tano kamaliza na hanauwezo wa kurudi kadude kenyewe ni kibamia yaani tabu tupu
kwani nini wewe usilaumiwe kwa kuwa na nani hii kubwa?
 

Hivi unajua hakunaga mwanamke mbaya? Mungu alivyoumba, kwa mwanamke aliumba kweli kweli.
Kuna wanawake wazuri na wanawake wazuri zaidi! unaweza ukawa mzuri wa mwonekano ila ukakosa uzuri zaid wa vingine.

Watch-out what he miss from you! Otherwise nitabia yake na ulimkuta nayo, Hapo hakuna namna pambana na hali yako
 
Ww si ndio umeanzisha thread hutombwi vizuri ww duu inaonesha ww ni mchafu na mapenz huwez halafu punguza kutunga hadith nying
 
mmhh baada ya tangazo ukaja kwa mbwe mbwe 'mr right' kapatikana and he's almost perfect [emoji1] [emoji1] kidogo ukatuletea mwaliko wa kuhudhuria harusini,,,hatujakaa sawa ukaanza kutuambiwa namna unavoenjoy ndoa leo the perfect one keshakua mwizi, malaya, kibamia, mario nk [emoji114]
 
Pole sana dada monicca lakin cjui kwann wanaume tumekuwa tofaut sana yan mke mzuri hupata mwanaume wa ajabu kwl na hata upande wetu pia ni ivo ivo ni mara chache sana hutokea wote mkiwa clean kabisa...yan jitaid tu kuvumilia na kufanya maombi maana lazma ni mapepo ya ngono ndio suluhisho sahihi
 
Monicca nadhani wewe ndiye unayesababisha. Alikuwa Mr Right ghafla amekuwaje na ubaya wote huo? Naamini unamdhalilisha mumeo kwa kumringia na mali zako. Uliuza gari ili asilitumie. Bila shaka unamsengenya kwa vile anakaa kwenye nyumba yako. Unasema ana kibamia na sekunde chache ameshaachia. Kama ni kweli wanawake wote wanamtafutia nini? Si wangeshampiga chini? Au sio yeye ana kibamia ila wewe una bwawa? Jirekebishe.
 
Ntavumilia mpka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…