mama la mama3
Member
- Feb 19, 2018
- 11
- 8
Ndiyo ni wa ndoa ,mtoto mmojaNi mume wa ndoa? Pole. Mna watoto wangapi? Kama bado fungasha mapeeema la sivyo uamue kuishi hivyo maisha yako yote. Ni shida sana kuishi na mtu wa namna hiyo; hawabadilikagi. Mara nyingi hujiona wao wako sahihi na hawakoseagi. Sasa akijua unampenda umeoza ndo utakoma.
PoaInawezekana hajua kama ananuna labda anaona ni Sawa tu
We akinuna kuwa mpole zaid jishushe tu mama la mama
Hiyo ndo ndoa vumilia
Ndiyo ni wa ndoa ,mtoto mmoja
Sasa hapo kazi ni kwako kuchagua kusuka au kunyoa. wewe ndie unayepambana na hizo kero za kununiwa na zitakufanya usiwe huru hata kumhoji yuko wapi akichelewa kurudi hom hata akiongea na simu kiutata hutakiwi kuhoji. Maisha yasiyo na raha kila baada ya siku chache kununiana. Fikiria hayo ndio maisha yako hadi unaingia shimoni... once again...pole inakuhusu.
Jamani mume wangu anakisirani a.k.a gubu, yani ukimkosea kitu kidogo tu anaweza kununa hata miezi sita, hatakula nyumbani, atakublock kwenye mitandao ya kijamii yote, tendo la ndoa kama wanandoa hatotaka in short hatakugusa na kila ukikosea anahisi umemdharau.
Yani hii tabia yake nahisi kuichoka natamani mnishauri nifanyeje kwani makwazo madogo kwenye ndoa hayaepukiki, tired.
Matatizo Gani umegundua?Kwa Uandishi wako tu huu uliojaa ' Ushangingi ' na ' Ushari ' tuliobobea katika Saikolojia ya Kimawasiliano tayari tumeshagundua kuwa Wewe una matatizo makubwa ambayo ukisema uyaweke katika Kontena basi ile Meli yote ya MSC ( Mediterranean Shipping Company ) itajaa hadi pomoni / juu.
nini kinamfanya apate kisirani? naona umenyofoa bbaadhi ya contents ili upate support hapa JF. Kisirani kwa kinamama ndo mwake mwake tena mmefuzu kwa ngazi ya PhD mnakosea nyie mnataka kupotezea kwa kisirani chenu. Mwanaume akiwapotezea (kuepusha malumbano, maana kwa midomo wanawake mlio kwenye ndoa hamjambo) hapo ndo mnadai eti Mume ana Kisirani. pole though!Ndiyo ni wa ndoa ,mtoto mmoja