Mume wako mchafu, usinisumbue

Mume wako mchafu, usinisumbue

Retired Sister

Senior Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
182
Reaction score
234
kuna wanawake wajinga sana.
Inatokea unatembea na mume wake, anaanza kukutukana achana na mume wangu sio type yako.

Ni kweli maana unakuta mwanaume ana hela sana na ndio kitu kimekuweka pale. Mwanaume anavaa chupi moja kila siku, vesti ni moja hadi imechanika kila siku, suruali kwa week anabadilisha mara mbili, soksi inabidi zibaki reception maana akiingia tu hotelini hakufai. Maeneo ya siri nayo machafu inabidi tu ujikaze ili watoto waende shule, mwili mafuta haupakwi hata baby care.

Unajiuliza hawa watu hela wanatafuta za nini ? Maana miaka yao ni 60-70. tufanyeje maisha yashakuwa magumu? Nani asiependa maisha mazuri. msinilaumu ila ogesheni waume zenu tunachoka
 
kuna wanawake wajinga sana.inatokea unatembea na mume wake .anaanza kukutukana achana na mume wangu sio type yako. ni kweli maana unakuta mwanaume ana hela sana na ndio kitu kimekuweka pale . mwanaume anavaa chupi moja kila siku,vesti ni moja hadi imechanika kila siku,suruali kwa week anabadilisha mara mbili.soksi inabidi zibaki reception maana akiingia tu hotelini hakufai. maeneo ya siri nayo machafu inabidi tu ujikaze ili watoto waende shule, mwili mafuta haupakwi hata baby care.unajiuliza hawa watu hela wanatafuta za nini ? maana miaka yao ni 60-70. tufanyeje maisha yashakuwa magumu? nani asiependa maisha mazuri. msinilaumu ila ogesheni waume zenu tunachoka
Wewe unayetumia pesa zake kwanini usimwogeshe na kumfulia hivyo vichafu?

Kwanini usimsisitize usafi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom