Mume wa mtu

Mume wa mtu

boobookitty

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
255
Reaction score
174
Jamani mi na mme wa mtu sumu, ukintongoza its better not to mention if you are married, I feel bad pale mke anavyoteseka only because of me. Once upon a time I had this man alintokea bana, siku moja natoka rum on my way to class Niko na earphones listenn gud music without noticn kuna gari nyuma yangu, the guy akagomba sana.

Watch out next tym utagongwa mara ee mara oooh!! He was cute tho, nkamtel am sorry n al n al nkawa mpole siakanizimikia bana.He apologized too fo bn hash. Akaniomba digits, nikamgea chat na kuchat tukawa gud friends.One day akaniask out nkakubali, tukahv few drinks. We had fun kwa kweli. Late nyts nkarud rum he used to call me like most of the time.Outings mpaka late nights, Watsap chattn kwa sana tuu.Havn lunch 2getha since alikua ana work near my uni.For two month things remained that way.

One day yl sayn gud bye 2each otha yl dropn me in my place ikahappen tukakiss, then relationship ikaanza hapo.Goin out havn fun but hatukawahi kucheza mechi until four months passed.Nikawa nikiomba visenti napewa kama kawa tena virefu, kila jumamosi ilikuwa lazima aniletee ma2miz.

Hadi ada aliwahi kunipa but kitty mpenda kupendeza nkanulia viwalo freessssh.From him I bought myself a lot of stuffs without knwn anytn.. One fact abt him he was too busy, tunameet only alhamisi ijumaa and jumamosi.. Jumapili never, hyo siku hatapokea Simu anadai yuko gym au site, kumbeee... Sikuipenda hii hali but nkazoea..

Then one day nkamuomba 4kilo nlimdanganya nadaiwa rent, at the same tym we planned to meet and this time I was ready to have a fair game with him.Sasa kila nikimuambia kuhusu anapokaa anapotezea.Ah na mi nikawa napotezea nkikumbuka nauliza lakini wapi hola.I Never get to go through his phone bcoz it had patterns all over th messagin apps.. Ukiuliza anapotezea. But Always alikua ananiambia I have something to tell you then inahappen tunapotezea.

Basi we planned on weekend tutaspend pamoja.I told him niende kwake but akasema it has to be special.. Okay no P... Nkamtell utanifata rum but ha!! ��, mi ntangulie then atakuja.Uliza maswali akawa mkali do as I say kitty. Kupenda tena nkakubali akanitumia mpunga kwa mpesa had ule nlioomba nkaenda hoteln doin all the payment nkachukua room!

The worst thing hakuja as we planned that evening I had to sleep alone, akantext Bby staeza kufika nimepata meeting ya ghafla na wahindi so ntachelewa.. Piga sana, msg sana no response!I cried but yah nkajikaza kikike! Nkalala alone.Saa kumi na moja asubuhi hodi. Its him I was happy, alot of kisses n hugs.Tukapiga sana story akaniomba msamaha things went right.While tunaongea msg zikawa zinaingia wakat anafungua nkainyaka pattern.

Zilikua za rafiki yake akanionyesha kujenga trust.Basi tukaanza romancn kwa sana, alipiga deki hatari ile tu anataka kuchomeka charger kwenye simu nkamtel ndom kwanza since tulikubaliana ivyo akaniambia ngoja nishuke chini kwa gari nkachukue nilizisahau.Ile katoka tu nkachukua Simu aliiacha. Fungua sms app nikachora pattern nikapatia nikakuta text "Mme wangu nimekukosea nini nowadays huniekei tena pesa kwenye account?

Halafu kuna vitu muhimu vya mtoto vimeisha ile kilo3 niliyokuomba since last week umenyamaza" hiyo ya kwanza nyingine "naumia umebadilika sana mme wangu".Nyingine iliyoniuma roho "namuombea sana huyo mwanamke uliempata adhabu kali kutoka kwa muumba maana anafanya mi niteseke" na zingine kibao duh Roho ikapiga pah kama nimechomwa na mkuki nikaogopa anaeza tokea nikaandika namba za mkewe kwa my phone nkkairudisha ilipokua.

Akarudi anankic mi mood yote ishakata! Nkamuuliza fido dido umeoa? Mbona unaniuliza hasira answer my f question akanjibu ndio kwanini unifiche? Gomba sana, mpaka kalia mwanaume anaomba msamaha.Vaa gauni langu usintanie huyo mbioo ye ananikimbiza. Fika mbele nikakutana na bajaji dereva twende nakaondoka namba za mkewe niliziandika kwenye Simu.Zile kilo 4 alizonirushia nikaenda kwa wakala wa tel money.

Nkazirusha zote mtoto wake apate stuffs. Akapiga sana nkamtel wakala asipokee basi nililia sana. Nilimpenda sana coz alikua akiniambia mambo ya mechi nikimpotezea ananiambia atasubiri. Nikasema mume ndio huyu. Kumbe anaenda kuzimalizia kwa mkewe, mi najisifu.The day nataka nimpe ndio nikaonyeshwa. Bora sikushiriki kikamilifu dhambi ya mme wa mtu japo nilishiriki kidogo bila kujua roho iliniuma sana sababu nilimpenda.

###end###
 
Yaelekea we ni mfanya biashara mzuri wa bidhaa hii unajitangaza ipasavyo
 
teh teh teh....mengine yakupita kimya
 
Katika story yako nimependa namna ulivyoonyesha ubinadamu kwa kutuma pesa kwa mke wa jamaa kwa kujua ana mtoto.

Nimedharau the way ulivyokua simple kuingia kwenye uhusiano na ulivyokua una omba omba vipesa.
All in all ur a good story writer
 
Hadithi njoo.... uongo njoo utam kolea!!!! mtoto wa chuo urudishe kilo nne Bongo, hapo mostly ni kupiga game na kujikaza kama hujaziona text

Nlikua nazo nyingii.. Coz alikua ananipa... Ungeona text za wife wake ungefanya ivyo tu
 
Katika story yako nimependa namna ulivyoonyesha ubinadamu kwa kutuma pesa kwa mke wa jamaa kwa kujua ana mtoto.

Nimedharau the way ulivyokua simple kuingia kwenye uhusiano na ulivyokua una omba omba vipesa.
All in all ur a good story writer

Kuomba lazima.. Nife na shida wakati mpenz alikua ana kazi nzuri na nilipewa ruhsa nkiwa na shida niseme!! Kama angekua mwanafunzi mwenzangu sawa
 
Wow yaani Mungu aendelee kukuongoza katika masomo yako na maisha yako.

Upate mume mtakaependana na kuishi pamoja kwa raha na kuweza kusuruhisha mambo madogo ya matatizo kama yakitokea katika maisha yenu.

Mpate watoto wawaongezee furaha nyingi.

Ubarikiwe
 
Ila mi nimekupendea kitu kimoja,pale ulipong'ang'ania mchizi avae kondomu.
 
Back
Top Bottom