Endelea tu kutumika kama kopo la KIWI...kutwa kung'arisha viatu wakati lenyewe jeusi tiii....mbaya zaidi likiisha matumizi latupwa kuleee.
Subiri kumwagiwa acid
mtoa mada msome Lara moko na Lisa!....wenzio ndio tunamaliza masters hivyoooo,na ndoa mlangoni.....vumilia umalize shule,then sepa
Mwanaume Hawezi penda watu wawili.Anampenda mkewe anakutumia.Lini mtaelewa mwanaume halazimishwi kuoa anapenda ndio anaoa.Unapoteza Muda and get a life
wewe bwana sema hako kagari kamekuzuzua umeona umefika huitaji kitu kingine,otherwise sioni kwa nini umeileta hii topic hapa,kama unaona kila kitu amekutimizia na huna haja nae muache subiri miezi sita tuone utasurvive vipi mtaani,FYI hawa masharobalo wanaokunyemelea humu na mtaani hata wese kwao ngumu,nachotaka kusema ukimwaga huyu baba ujue kuna consequences zake lazima ujihakikishie utazimudu na udogo wako....
wachunaji oyeee lol dhambi wanaziona kwako tu mdada hawaoni kuwa kuna kubwa jinga linaloamua kuacha kuendeleza familia yake na kugharamia kimada.
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
nani atakeyeisha matumizi?dont you see this is like barter trade?nipe nikupe...akiisha matumizi na yeye atakuwa kashavuna vya kutosha
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
ngoja mwenye mume halali ajue ndio utajua ufanyeje!