Mume wa mtu nouma

Mume wa mtu nouma

kitali

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
6,260
Reaction score
9,573
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....
 
ah mbona sharing is caring jamani...wewe mpe nae aonje utamu wa K yako bana. wanawake acheni kubani hizo K zenu
 
duh!angalia mwnyewe kwni k, c ya kwako mwenyewe ila bhna wanawk cjui mmeumbwaje ww m2 keshakuita malaya cjui kauze lkn bdo unampenda 22
 
Achana na mume wa mwenzio tafuta wa kwako alikwambia tayari ana mke wake hayo ya kusema anakupenda wewe tu ilikuwa gia ya kuingilia. Usipoteze muda wako kwake shauri yako.
 
huyo ndo mumeo kabisa mshikilie,ndo sweet kipenzi wako he can die for you
 
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....

Jitahidi kuwa mwanamke mwenye msimamo bwana, kwanza kama ulivyosema wewe tayari unamchumba na mbali ya yote umekiri kabisa mnapendana na mna mpango wa kuja kuoana, sasa kama ni hivyo ni kwanini basi unaruhusu mwanaume ambae sio mchumba wako anakukaribia kimapenzi kiasi hicho?..........................Halafu kitu kingine cha muhimu zaidi hebu pendaneni na muoneane huruma nyie dada zetu, wewe mtu ameshakwambia ameoa na isitoshe zaidi tayari ana mtoto......amesha kuwa baba huyo na ana majukumu ya kutunza familia tayari, oky let's go to the next point>>>>>

Sasa katika swala kama hili na wewe kama mwanamke wa kisasa, mpenda maendeleo, mpenda amani na mzalendo wa haki za wanawake na pia unaetambua kuwa hakuna familia iliyo bora inayoweza kujengwa pasi na kuwa na mwanamke mwenye msimamo thabiti wa kimapenzi kwa mumewe na familia yake kwa ujumla. Sasa kama ni hivyo basi, kwa nini unataka kuanza kusababisha mchumba wako aanze kujiuliza..........je tupo wangapi?

Sasa yangu ni haya
1. Jitahidi kuwa na mapenzi ya dhati kwa mchumba wako, kama ulivyosema mlianza kupendana tokea wadogo

2.Tambua kuwa huyo jamaa huyo anaekusumbua tayari anafamilia, nikwamba hapo ukicheza rafu tu basi jua umevunja ndoa ya watu......yakawa kama yale ya mwana meka......Na kikubwa zaidi utasababisha mtoto(kiumbe asiye na hatia) kukosa malezi ya familia bora, na isitoshe, hivi ukiwa umekaa utajisikiaje moyoni endapo utajikuta wewe ndio umekuwa sababu kubwa ya kuvujika kwa ndoa ya watu?

3.Muheshimu mwanamke mwenzio

4.Cha msingi hapo, tafakari niliyo eleza hapo halafu chukua hatua..................
 
You can't be serious.

Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....
 
Wanawake bwana, hivi vichwa vya kwenu vinamatatizo kidogo? Hamjuagi kujitolea maamuzi. Ndo maana tunawakanyaga na kuwatupilia mbali na kamekua kama kamchezo.
Argh ma day is ruined.
Mwanamke mamaako tu bwana, waswahili wanasema
 
mara
mke wake akasikina na kusema ni
malaya gan unampigia sm? nakutaka
uongee nae nikusikie akanigeuzia
kibao na kusema, wewe dada unaakil
timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya
wewe usie kuwa na aibu kama
unawashwa kauze upate hela nyooko'' ALIVYOKWAMBIA HAPA WALA HAKUKOSEA TENA NI MADOGO MNO!!... Subiri nawewe ikunasie kwenye 0712/0713/0714 ndio akili itakukaa sawa.. M*a*v*i yako kitali
 
Last edited by a moderator:
Hee sasa ndo unauliza nini nahisi we mbumbumbu sana sio bure
 
Wewe hujiamini na hujitambui hilo ndo tatizo la nyie viumbe vya kike.thus y asikwambie m2 mwanaume akisha ngonoka uzur wako wote unakuwa umeishia kitandan pale .
 
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....

Maisha plus
 
Back
Top Bottom